Mbona tofauti kubwa hivyoBingwa 200ml na mshindi wa pili 50ml
Mbona tofauti kubwa hivyoBingwa 200ml na mshindi wa pili 50ml
Kwenye barua ya Yanga waliyoipeleka TFF leo ambayo Ujumbe wa Yanga uliongozwa na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine na Mkurugenzi wa Fedha wameambatanisha INVOICE takribani tano, YANGA hana tabu na kudai au kudaiwa ile vitu viende kwa mfumo.
1- Invoice za Ubingwa Federation Cup zipo tatu kuanzia msimu wa 2021/22.
2- Invoice ya Fedha za Mapato ya Mlangoni za Michuano ya CAF ambazo Yanga walikatwa na CAF ambazo TFF hawajawalipa Yanga.
3- Invoice za Udhamini wa timu ya Wanawake na Mashindano ya Vijana.
Yanga pia wamesititiza TFF wapige hesabu zao na wana machaguo mawili baada ya hapo kuhusu Fedha zao
1- Kuweka fedha zote ambazo Yanga wanawadai inakadiriwa MILLION 426 za Kitanzania, kisha TFF watume INVOICE za Madeni yao yote Jangwani kisha Yanga walipe madeni hayo.
2- Kama TFF waliwakata fedha zote ambazo wanadaiwa, Yanga wanataka kujulishwa kwa USHAHIDI WA RISITI kama ambavyo Sheria za Kodi za nchi zinavyotaka kisha baki yao waingiziwe kwenye account yao ila Makato yote yawe na RISITI.
KISHA Yanga Msimamo wao ni kuwa hakuna maongezi yoyote na kama kuna maongezi (Reconciliation) basi Yanga wapo tayari maongezi hayo yafanyike mbele ya TRA na Mamlaka za Usalama kuhusu MADENI ili kumbukumbu zikae sawa.
Aisee kweli no erection no party....sasa jamani msipocheza mechi sie wazee wa erection = party mnataka kutukosesha raha ya kubambia misambwanda ya mishangazi ya simba na yanga....😭😭😭😭😭😭Kwenye barua ya Yanga waliyoipeleka TFF leo ambayo Ujumbe wa Yanga uliongozwa na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine na Mkurugenzi wa Fedha wameambatanisha INVOICE takribani tano, YANGA hana tabu na kudai au kudaiwa ile vitu viende kwa mfumo.
1- Invoice za Ubingwa Federation Cup zipo tatu kuanzia msimu wa 2021/22.
2- Invoice ya Fedha za Mapato ya Mlangoni za Michuano ya CAF ambazo Yanga walikatwa na CAF ambazo TFF hawajawalipa Yanga.
3- Invoice za Udhamini wa timu ya Wanawake na Mashindano ya Vijana.
Yanga pia wamesititiza TFF wapige hesabu zao na wana machaguo mawili baada ya hapo kuhusu Fedha zao
1- Kuweka fedha zote ambazo Yanga wanawadai inakadiriwa MILLION 426 za Kitanzania, kisha TFF watume INVOICE za Madeni yao yote Jangwani kisha Yanga walipe madeni hayo.
2- Kama TFF waliwakata fedha zote ambazo wanadaiwa, Yanga wanataka kujulishwa kwa USHAHIDI WA RISITI kama ambavyo Sheria za Kodi za nchi zinavyotaka kisha baki yao waingiziwe kwenye account yao ila Makato yote yawe na RISITI.
KISHA Yanga Msimamo wao ni kuwa hakuna maongezi yoyote na kama kuna maongezi (Reconciliation) basi Yanga wapo tayari maongezi hayo yafanyike mbele ya TRA na Mamlaka za Usalama kuhusu MADENI ili kumbukumbu zikae sawa.
Inategemea na makubaliano kati ya mdaiwa na mdai.Nas3ma hivi mie mzabzab kama backbencher maarufu.
Muhasibu yoyote yule hapa jf mwenye coa yake aje atupe ufafanuzi kuhusiana na tarafibu za kukatana madeni juu kwa juu. Je nduo taratibu za kifedha zilivyo?
Au muhusika analipwa kwanza hela zake za ushindi alafu anatumiwa memo kuwa anadaiwa hivyo alipe deni....tuelewesheni basi wasomi wetu
Hiyo ni taasisi mnayofanya nayo kazi, kiprofessional na hatua ya kwanza mngekaa nao kikao na kila mmoja ataeleza madai yake na ushahidi halafu minutes inaandaliwa na kusainiwa. Chakushangaza viongozi wenu wanaenda jinsi mashabiki maandazi wanavyotaka.Wanadekaje labda? Kuna taasisi inafanya kazi kwa maneno matupu bila barua
Watu wanataka risiti wanazo sema wanawadai yanga na walilipa madeni ya Yanga. Yanga ameshakabidhi risiti zake zote za madeni yake 426m.Tena Yanga wanataka kufanya reconciliation mbele ya TRA. TFF kama kawa anataka wazungumze, hekima na busara zitawale kama kawa,maswala ya kuweka risiti mezani hataki na Yanga hekima na busara hawataki, wanataka kiutaalam zaidi."Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"- Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.
"Kama CEO wa Yanga SC hajui bingwa anapata nini kwanini wanasema wanadai kiasi hicho cha fedha wanachosema."
Maneno ya Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.
Ki accountant muongozo ni upi achana na makubaliano ya wenyewe maana wanawe,a kukubaliana kuiba ati 🤣🤣🤣🤣Inategemea na makubaliano kati ya mdaiwa na mdai.
Yanafanyika kwenye matako yakoHUYU NAYE NI KILAZA KWELI KWELI!
HV ANAJUA MAWASILIANO YA KIOFISI YANAVYOFANYIKA?
Kinachonisikitisha na yanga kusema hawajalipwa za misimu yote mi3 ya nyuma ila wanadai ya msimu jana tu.Sawa ila siyo hiyo mliyotuambia. Mmeambiwa muende mpate mchanganuo ila kwa kuwa mnajua ukweli mnakwepakwepa.
Matako ya kima wewe, mmeyatimba mwaka huu!Yanafanyika kwenye matako yako
Udhamini wa zaidi ya milion 200 haimaanishi ndo zawadi kwa bingwa wa michuano. Nafikiri vilabu kama wanaingia mashindanoni bila kujua stahiki zao kuanzia wanapoanzza hadi kutamatisha basi vilabu vinaongozwa na wapumbavu.Awa jamaa TFF ni wana njaa hatari, Wakati wa udhamini wa Azam federation cup (FA) Bingwa alikua akipewa 50 Million.
CRDB wakaja na udhamini mpya ambao ni zaidi ya million 200 Bado wako kimya hawasemi chochote ni kama vile dau la udhamini halijabadikika yaani TFF ukishinda Ubingwa yeye ndio akupangie malipo yaani ni upuuzi wa Viwango vya lami.
Nina uhakika timu nyingi zinafurahia jinsi Yanga wanavyo pambana.
Kuna fedha nyingi za udhamini vilabu vinakatwa juu kwa juu kwa Dhulma na havina ubavu wa kuongea.
Ni wazushi ndiyo maana mtu ukituliza akili ukawasikiliza mambo wanayosema utagundua kuna uongo mwingi ndani yake. Jana niliongelea kuhusu Yanga kuamua kusambaza fitna kama silaha yao dhidi ya TFF na Bodi ya Ligi. Nia yao kuwachafua TFF na Bodi ili hii pressure waamue mambo yasiwe mengi, wabadili msimamo wao kuhusu derby.Kinachonisikitisha na yanga kusema hawajalipwa za misimu yote mi3 ya nyuma ila wanadai ya msimu jana tu.
Kama jambo halihitaji kuandikiana barua? Si kila mawasiliano yanahitaji barua, vingine vinahtaji kuelezeana! Unauliza, unajibiwa n.k sasa unaitwa ofsini unakalia eti nitumieni barua.HUYU NAYE NI KILAZA KWELI KWELI!
HV ANAJUA MAWASILIANO YA KIOFISI YANAVYOFANYIKA?