Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

Kwa bahati mbaya unazungumzia kitu ambacho huna uwezo nacho. Walienda kufanya nini TFF wakati wanahitaji independent auditors? Haya madai kwanini kuwa wanahitaji watu hao hawakuyatoa mapema? Hiki ni kichaka tu cha kuficha aibu. Na bahati mbaya wameshatumia njia hii ya hadaa na kukwepa uwajibikaji kwa muda mrefu. Mifano iko mingi. Nakualika Uchaguzi ujao tuchukue timu watu makini tuondoe hizi janja janja na hadaa.
Wewe ndio mweupe unapenda story za vijiweni, watalaamu wapo kwa nini wasitumike kuclear doubt? Unapendwa kudanganywa, wakati watu wamahesabu wapo.

Kwani jana TFF si waliwaita, vipi wasingeenda? Kwa akili yako kisoda ungesema Yanga wajeuri. Yanga walienda kuwasikiliza wakiwa na vielezo vyao vya madai, wakiamini TFF wanazo documents za kwao. Ila baada ya Yanga kugundua ,hizo documents wanazosema za makato hamna,ndio wakakataa kuendelea na hayo mazungumzo na wakatoa mapendekezo ya kuwa na mkaguzi wa mahesabu huru kwa ajili ya kufanya reconciliation.

Hii issue ni simple haitaji nguvu Auditor anaiclear na tunapata majibu.

Sasa Yanga wamekwepa uwajibikaji kwenye lipi? Wapi wamekosea? Kuficha ficha upuuzi ndio kumefanya JKT Queens mpaka sasa ,wamechukua ubingwa ,ila hawajapewa kombe, haikufanyika Ceremony ya makabidhiano na wala hela hawajapewa huku wamuzi miezi miwili hawakulipwa posho zao, huoni TFF ndio wanatakiwa kuwajibika? Au ndio oya oya unatembea na kiwiliwili hujui kichwa kipo wapi.
 
Vp Mkuu, si una furaha sana saivi ukiona Yanga anavyopambana kivyake kusema ukweli ili nanyi msipte humohumo tena ilihali nyie hamuongei mpo kimya tu kama hapo hivi?

Nyie mlikuwa mnapewa haki stahili?
Hakuna ukweli wowote kwenye madai ya Yanga

Mwanzo niliona hivyo lakini it turns out to be vice versa. Yanga ni wahuni
 
Vilabu vingine ilitakiwa huu ndo muda wa kuungana na yanga kwenye jambo moja kama sio mawili, kwenye ishu ya pesa na bodi kuwa huru, lakini wote nadhani wanaogopa, sidhan kama wao wanafurahishwa na mkataba wa mabilioni halafu bingwa anapewa 50M, au labda kwakua hizo team hazitwai sana makombe kwahiyo they dont care?
 
Wewe ndio mweupe unapenda story za vijiweni, watalaamu wapo kwa nini wasitumike kuclear doubt? Unapendwa kudanganywa, wakati watu wamahesabu wapo.

Kwani jana TFF si waliwaita, vipi wasingeenda? Kwa akili yako kisoda ungesema Yanga wajeuri. Yanga walienda kuwasikiliza wakiwa na vielezo vyao vya madai, wakiamini TFF wanazo documents za kwao. Ila baada ya Yanga kugundua ,hizo documents wanazosema za makato hamna,ndio wakakataa kuendelea na hayo mazungumzo na wakatoa mapendekezo ya kuwa na mkaguzi wa mahesabu huru kwa ajili ya kufanya reconciliation.

Hii issue ni simple haitaji nguvu Auditor anaiclear na tunapata majibu.

Sasa Yanga wamekwepa uwajibikaji kwenye lipi? Wapi wamekosea? Kuficha ficha upuuzi ndio kumefanya JKT Queens mpaka sasa ,wamechukua ubingwa ,ila hawajapewa kombe, haikufanyika Ceremony ya makabidhiano na wala hela hawajapewa huku wamuzi miezi miwili hawakulipwa posho zao, huoni TFF ndio wanatakiwa kuwajibika? Au ndio oya oya unatembea na kiwiliwili hujui kichwa kipo wapi.
TFF jana iliwaita watu wa mahesabu

Nyie mmepeleka CEO.

CEO ambaye hajui hata pesa anayolipwa mshindi wa kombe la CRDB.

Pamoja na hivyo TFF ilisema mkaguzi wenu wa mahesabu aje wafanye comparison ya mahesabu through records ili wajue wapi wamepishana.

Lakini kwa ujeuri ametua tu documents afu kasepa. Huu ni uhuni

Hata kama kuna sehemu mlikuwa na hoja lakini kupitia hii mmedhihirisha mpo incompetent.
 
Tulieni sisi tunagonga kichwa tuu
Ndio hivyo mnavyoona huko?

Huku sisi tunawaona kama wahuni fresh

Mshindi wa CRDB analipwa bei gani?

Hili swali ni IQ test kwenu kupima hizi ID kama ni Sunday Manara au kikwete ili tujue tunajadili na mtu wa aina gani
 
TFF jana iliwaita watu wa mahesabu

Nyie mmepeleka CEO.

CEO ambaye hajui hata pesa anayolipwa mshindi wa kombe la CRDB.

Pamoja na hivyo TFF ilisema mkaguzi wenu wa mahesabu aje wafanye comparison ya mahesabu through records ili wajue wapi wamepishana.

Lakini kwa ujeuri ametua tu documents afu kasepa. Huu ni uhuni

Hata kama kuna sehemu mlikuwa na hoja lakini kupitia hii mmedhihirisha mpo incompetent.
Unakurupuka na wewe ,timu yako tena nyie hamjie helewi mmesema hamchezi mpaka uchunguzi wa mechi husika ufanyike ila cha ajabu mnacheza,ili mradi misonekane mnawaiga Yanga.

Umekurupuka tena na hapa CEO wa Yanga alienda na Mkurugenzi wa fedha wa Yanga ,hakuenda CEO peke yake,habari sijui unaziokota wapi.
Screenshot_20250611_171933_Instagram.jpg

Unafanyaje comparison wakati stakabadhi ya malipo unayosema wamekata hauna? How labda uniambie ww........ halafu still unaomba mkae mezani mzungumze mnazungumza nini? Swala hili kitaalam halihitaji hekima na busara.

Nyie ndio hata mnacho kiamua hamkielewi kama vikao vya kijiweni, mara hatuchezi mpaka uchunguzi ufanyike ,mara hoo tunacheza,sigara kali hamjui mnacho simamia.
 
Unakurupuka na wewe ,timu yako tena nyie hamjie helewi mmesema hamchezi mpaka uchunguzi wa mechi husika ufanyike ila cha ajabu mnacheza,ili mradi misonekane mnawaiga Yanga.

Umekurupuka tena na hapa CEO wa Yanga alienda na Mkurugenzi wa fedha wa Yanga ,hakuenda CEO peke yake,habari sijui unaziokota wapi.
View attachment 3364629

Unafanyaje comparison wakati stakabadhi ya malipo unayosema wamekata hauna? How labda uniambie ww........ halafu still unaomba mkae mezani mzungumze mnazungumza nini? Swala hili kitaalam halihitaji hekima na busara.

Nyie ndio hata mnacho kiamua hamkielewi kama vikao vya kijiweni, mara hatuchezi mpaka uchunguzi ufanyike ,mara hoo tunacheza,sigara kali hamjui mnacho simamia.
Mkurugenzi wa fedha we ulimuona?

Tuliyemuona na ambaye amethibitishwa na TFF katika kuwasilisha barua ni huyo CEO.

Lakini ujio wao ulikuwa ni kufikisha barua? Hilo ndio swali la msingi.

Kwani zile barua zenu mlizowaandikia TFF kuwa pesa za usajili wa wachezaji wakate huko huko mlikuwa mnategemea stakabadhi zitokee wapi?

Ishu sio tu stakabadhi ishu ni references za ushahidi kuonesha kivipi nyie ndio mnaodaiwa.

Huo wizi wenu wa kihuni hamuwezi kuwaibia wote maana sio mara zote utakutana na watu wasio makini.
 
Hakuna ukweli wowote kwenye madai ya Yanga

Mwanzo niliona hivyo lakini it turns out to be vice versa. Yanga ni wahuni
Yanga ni wahuni!

Endelea na maandalizi ya derby tarehe 15,

Mechi isipopigwa tarehe 15, mtapewa bingwa na kombe lenu mda huo huo au hadi kamati ikae tena baada ya kupokea simu ya kigogo yoyote?
 
Kama kawaida

Jumapili msije tu wala sisi hatuna noma na nyie kutokuja.

Sisi tunataka sheria ifuatwe tu.
 
Vilabu vingine ilitakiwa huu ndo muda wa kuungana na yanga kwenye jambo moja kama sio mawili, kwenye ishu ya pesa na bodi kuwa huru, lakini wote nadhani wanaogopa, sidhan kama wao wanafurahishwa na mkataba wa mabilioni halafu bingwa anapewa 50M, au labda kwakua hizo team hazitwai sana makombe kwahiyo they dont care?
Udhaifu wa timu nyingine ndy unawafanya waone vita vyao wamalize wao wenyewe.

Najiuliza je simba hajadhulumiwa au sababu yeye alikua achukui kwa kipindi hicho anahisi haonewi au kudhulumiwa?

Naona Yanga anajipambania maana yeye ndy alikua dominator
 
Mkurugenzi wa fedha we ulimuona?

Tuliyemuona na ambaye amethibitishwa na TFF katika kuwasilisha barua ni huyo CEO.

Lakini ujio wao ulikuwa ni kufikisha barua? Hilo ndio swali la msingi.

Kwani zile barua zenu mlizowaandikia TFF kuwa pesa za usajili wa wachezaji wakate huko huko mlikuwa mnategemea stakabadhi zitokee wapi?

Ishu sio tu stakabadhi ishu ni references za ushahidi kuonesha kivipi nyie ndio mnaodaiwa.

Huo wizi wenu wa kihuni hamuwezi kuwaibia wote maana sio mara zote utakutana na watu wasio makini.
Kwa hiyo wewe ulitaka uwaone wote ndio uamini? Akili za wapi hizi, timu imeongozwa na CEO,CEO ndiye kiongozi wa msafara, hata kwenye kuhojiwa basi atahojiwa yeye,protocol za kawaida.

Mnazungumzia maswala ya fedha unafikisha barua bila Invoice, unazani Yanga wanaujinga huo.Mpaka Mkurugenzi wa fedha kaenda maana Yanga walienda na kila kitu, ambacho kinacho onesha madai yao.

Kwani Yanga wamezikataa hizo barua na ndio maana wametaka Reconciliation?Mmesema umewakata Stakabadhi za malipo zipo wapi? Unajua maana ya Reconciliation.....? Hawataki siasa za hekima na busara, weka za kwako na Yanga anaweka zake, then Auditor anakagua na kufanya Reconciliation,ndicho walichopendekeza Yanga.

Halafu hii show nyie Kolo FC inawahusu nini?
 
Kwa hiyo wewe ulitaka uwaone wote ndio uamini? Akili za wapi hizi, timu imeongozwa na CEO,CEO ndiye kiongozi wa msafara, hata kwenye kuhojiwa basi atahojiwa yeye,protocol za kawaida.

Mazungumzia maswala ya fedha unafikisha barua bila Invoice, unazani Yanga wanaujinga huo.Mpaka Mkurugenzi wa fedha kaenda maana Yanga walienda na kila kitu, ambacho kinacho onesha madai yao.

Kwani Yanga wamekataa na ndio maana wametoa Reconciliation? Unajua maana ya Reconciliation.....? Hawataki siasa za hekima na busara, weka za kwako na TFF anaweka zake, then Auditor anakagua.Ndicho walichopendekeza Yanga.

Halafu hii show nyie Kolo FC inawahusu nini?
TFF wao wenyewe wamethibitisha hilo.

Sasa unabidi uje na majibu solid kwanini uone ni rahisi kwa mtu rational kukuamini wewe zaidi kuliko kiongozi wa TFF?

Sasa kama hayo unayoyasema na kuyabainisha kama ni magumu kufanyika mezani na TFF kwanini ilikuwa rahisi kuyasema mbele ya camera bila kuwepo na hizo invoice?

Sasa reconciliation gani inayoweza kufanyika kwa mtu kutua barua na kukataa meza ya mazungumzo ya kutafuta muafaka wa kujua wapi mnapishana?

Halafu hapo hapo tena unaji contradict. Upande mmoja unahubiri reconciliation lakini upande wa pili tena unahubiri kutotaka hekima na busara.

Unajua TFF ingeamua kusimamia kanuni na kukataa hekima leo hii msingeshiriki hii ligi?

Hivi unaelewa kwamba moja ya sharti la timu kushiriki NBC Premier League ni mpaka timu hiyo isajili timu ya vijana?

Unaelewa kwamba mwanzoni wa msimu huu mlishindwa kusajili timu ya vijana?

Unaelewa kwamba sababu pekee ya nyie kushiriki ligi kuu ilitokana na hizo busara ambazo saizi umekaririshwa na viongozi wenu kuwa hazina msingi?

Unaelewa kuwa usajili wa Kisinda ulikiwa na dosari? Kambole je? Na hata humu uzi wake upo.

Hayo yote yangeamuliwa kwa kuiweka busara pembeni unajua outcome yake ingekuwaje?

Acheni uhuni.
 
Kwahiyo ubingwa mnapewa jumapili na kombe siku hiyo hiyo?
Kwa nchi zingine hufanya hivyo.

Sidhani kama itakua rahisi hivyo, kombe hampewi
Mnatikisa kiberiti?

Kama hayo ni matokeo ambayo hampo tayari kuyaona basi leteni timu.

Vinginevyo mjiandae kisaikolojia na msije kusema hatukuwaambia.
 
TFF wao wenyewe wamethibitisha hilo.

Sasa unabidi uje na majibu solid kwanini uone ni rahisi kwa mtu rational kukuamini wewe zaidi kuliko kiongozi wa TFF?

Sasa kama hayo unayoyasema na kuyabainisha kama ni magumu kufanyika mezani na TFF kwanini ilikuwa rahisi kuyasema mbele ya camera bila kuwepo na hizo invoice?

Sasa reconciliation gani inayoweza kufanyika kwa mtu kutua barua na kukataa meza ya mazungumzo ya kutafuta muafaka wa kujua wapi mnapishana?

Halafu hapo hapo tena unaji contradict. Upande mmoja unahubiri reconciliation lakini upande wa pili tena unahubiri kutotaka hekima na busara.

Unajua TFF ingeamua kusimamia kanuni na kukataa hekima leo hii msingeshiriki hii ligi?

Hivi unaelewa kwamba moja ya sharti la timu kushiriki NBC Premier League ni mpaka timu hiyo isajili timu ya vijana?

Unaelewa kwamba mwanzoni wa msimu huu mlishindwa kusajili timu ya vijana?

Unaelewa kwamba sababu pekee ya nyie kushiriki ligi kuu ilitokana na hizo busara ambazo saizi umekaririshwa na viongozi wenu kuwa hazina msingi?

Unaelewa kuwa usajili wa Kisinda ulikiwa na dosari? Kambole je? Na hata humu uzi wake upo.

Hayo yote yangeamuliwa kwa kuiweka busara pembeni unajua outcome yake ingekuwaje?

Acheni uhuni.
Kwani ktk kinacho fanya kuaminika kauli au documents? Unakichwa kigumu.

Wangesimamia kanuni kwani Yanga alifanya issue gani? Msimu ulipita nyie mechi ya Kagera,mlihairisha sababu wachezaji wenu wanaumwa,mechi saa kumi,saa nane mchana Kagera wanaelekea uwanjani ,bodi inatoa taarifa mechi imehairishwa, mnadekezwa kama vitinda mimba. Juzi mnawalaumu mabaunsa, unacha kuthibitisha wale ni mabaunsa wa Yanga? Okay tufanya mabaunsa wale wasinge kuwepo, mngefanyaje mazoezi wakati kwenye barua yenu mlishakubali meneja hakuwa na taarifa ? Ndio maana nyie mpo kama sigara kali.

Kuna sehemu Yanga walikataa kukaa kwenye meza ya mazungumzo? Yanga wamekataa kufanya mazungumzo ambayo hayana hizo stakabadhi za malipo? Sasa mnakaa mnafanya, nini umesema umewakata hizo stakabadhi zipo wapi?Sababu msingi wa hoja wa Yanga ni madai yao,wewe umesema umewakata okay stakabadhi zipo wapi?

So usajili wa Kisinda na Kambole unahusiana nini na hela za Yanga wanazodai, maana maswala ya usajili kati ya club na mchezaji?TFF utajulishwa na kuizinisha kama mchezaji amesajiliwa ndani ya dirisha au wewe unavyo zani TFF wanamefanya malipo?

Kwani Yanga haina timu ya vijana? So kwa hiyo kama unateam ya vijana na hujasajili kijana mpya kosa linakuwa wapi? Hamna timu inayo lazimishwa kusajili,swala la kusajili ni uwamuzi wa club kutokana na mahitaji yake.

Mnaleta mpira wenu wa kwenye vijiwe vya kahawa kwenye swala linalo hotaji wataalamu. Sasa kuna ugumu gani wa TFF kuonesha hizo stakabadhi, kuna ugumu gani kupatatikana chombo huru za kukagua na kufanya Reconciliation kwa pande zote mbili na kuonekana nani mkweli.

Kuna sehemu gani niliyo jicontradict, nilicho sema ktk swala hili tunahitaji uweledi na sio hekima na busara,kama ipo iweke. Tabu ya kuingilia visivyo kuhusu ndio maana vingine huwezi kuelewa.

Wewe umegoma,endelea na mgomo wako huku tuachie wanaume tudeal na TFF.Kama ungekuwa na nia ya kucheza na Yanga ungekuja tarehe 8.

Unarukaruka kama bisi mara timu ya vijana ,mara hekima na busara,mara kambole. Ila si shangai hata timu yake haieleweki,mara iseme hachezi mara inacheza. Halafu mnakuja kudandia visivyo wahusu.

Yanga wanachotaka hela yake, weka stakabadhi za malipo ,yanga anaweka invoice zake,aitwe mkaguzi huru, akague hizo stakabadhi na kufanya Reconciliation ukweli ujulikane. Maswala ya kuitana kwenye meza bila hizo documents, hayo mazungumzo yatakuwa hayana tofauti na vikao vya vijiwe vya kahawa.
 
Yanga walitakiwa wakae na TFF kuangalia ni wapi wametofautiana kwenye mahesabu.

Barua peke yake sidhani kama itajitosheleza kujibu maswali yote.
Mkuu scars, Young Africans wamewaambia tifutifu kwenye barua Yao ya invoice kuwa kama wanataka majadiliano, basi TRA na TAKUKURU wawepo.
 
Wakati wanatoa zile assertion kuishutumu TFF hao TRA na TAKUKURU walikuwepo?

Halafu kingine hivi katika hali tu ya kawaida kwenye jambo la uhakiki wa taarifa za fedha TRA na TAKUKURU wanahusika vipi?

Na vipi kuhusu madai yao hewa kuhusu kiasi cha milion 200 ambacho kwa madai yao wanaona ni pesa ambayo alipaswa apewe bingwa wa shirikisho ambaye ni yeye.

Wewe kwa upande wako unaona madai haya yana mashiko yeyote?
 
Ngoja joseph1989 on my behalf
 
Back
Top Bottom