Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

Yanga hajakataa tena yupo tayari kukaa mezani hata na wataalam wa auditing kutoka TRA.Yanga kakabidhi risiti zote za madai, akawaomba TFF watoe zao wafanye reconciliation. TFF wanataka wayazungumze, sasa wazungumze nini na jana walisema wanawadai Yanga. Tuachane hizi hekima na busara, tufanye mambo kiutalaam zaidi, Yanga wameenda mbali mpaka kuomba wakae chini na wataalam wa auditing kwa ajili ya kufanya reconciliation, bado TFF wanataka wakae mezani. Sasa wakae mezani kufanya nini, wakati jambo linahitaji wataalam na risiti zao liishe.
Nani kasema hayo? Huu ni upotoshaji ambao hautusaidii. Yanga hawajatoa risiti yoyote wao wamekabidhi barua tu. Kama tuna risiti tunaogopa nini kufanya reconciliation? Mashabiki wa Tanzania tumekubali kifanywa manyumbu. Makolo wamefanywa manyumbu, na sisi wanataka kutufanya manyumbu, hatutakubali.
 
Yanga wamewashika tff sehemu mbaya na inavyoonekana hawataachia hadi mtu afe.
Yanga hajakataa tena yupo tayari kukaa mezani hata na wataalam wa auditing kutoka TRA.Yanga kakabidhi risiti zote za madai, akawaomba TFF watoe zao wafanye reconciliation. TFF wanataka wayazungumze, sasa wazungumze nini na jana walisema wanawadai Yanga. Tuachane hizi hekima na busara, tufanye mambo kiutalaam zaidi, Yanga wameenda mbali mpaka kuomba wakae chini na wataalam wa auditing kwa ajili ya kufanya reconciliation, bado TFF wanataka wakae mezani. Sasa wakae mezani kufanya nini, wakati jambo linahitaji wataalam na risiti zao liishe.
 
Ki accountant muongozo ni upi achana na makubaliano ya wenyewe maana wanawe,a kukubaliana kuiba ati 🤣🤣🤣🤣
Mfano ni huu familia wakiripoti kwa muajiri kuwa baba hatuhudumii wana mandate ya kuzuia sehemu ya mshahara ili familia wapewe.
 
Nani kasema hayo? Huu ni upotoshaji ambao hautusaidii. Yanga hawajatoa risiti yoyote wao wamekabidhi barua tu. Kama tuna risiti tunaogopa nini kufanya reconciliation? Mashabiki wa Tanzania tumekubali kifanywa manyumbu. Makolo wamefanywa manyumbu, na sisi wanataka kutufanya manyumbu, hatutakubali.

View: https://www.instagram.com/p/DKwV0zRsI76/?igsh=MWtxbnE1cGMxem8yNQ==
Unapayuka sana,unaelewa '.......wameambatanusha INVOICE........" ,unajua invoice maanake nini?

Ushajiuliza ikiwa Yanga hajalipwa, vipi marefa, timu zilizo shiriki kwenye hiyo michuano au nao TFF wanawadai, jambo linalo hitaji watalamu lifanyike kiutaalam. Sasa Yanga yupo tayari mpaka kuwatumia mauditor wa TRA, Yanga wanataka transparency TFF wanataka busara.
 
Yanga hajakataa tena yupo tayari kukaa mezani hata na wataalam wa auditing kutoka TRA.Yanga kakabidhi risiti zote za madai, akawaomba TFF watoe zao wafanye reconciliation. TFF wanataka wayazungumze, sasa wazungumze nini na jana walisema wanawadai Yanga. Tuachane hizi hekima na busara, tufanye mambo kiutalaam zaidi, Yanga wameenda mbali mpaka kuomba wakae chini na wataalam wa auditing kwa ajili ya kufanya reconciliation, bado TFF wanataka wakae mezani. Sasa wakae mezani kufanya nini, wakati jambo linahitaji wataalam na risiti zao liishe.
TRA hakuna wataalamu wa Auditing,wataalamu wapo EY,PWC. Hakunadocuments inayoitwa risiti ya madai labda useme hati za madai/invoice.
 
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"- Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.

"Kama CEO wa Yanga SC hajui bingwa anapata nini kwanini wanasema wanadai kiasi hicho cha fedha wanachosema."

Maneno ya Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.
Sema kimeumana 😂😂 ....Sisi tukiandika barua za hatuchezi wanasema hawaioni haya Mahesabu hayo Hapo wanataka tuongee nini tenah
 
View: https://www.instagram.com/p/DKwV0zRsI76/?igsh=MWtxbnE1cGMxem8yNQ==
Unapayuka sana,unaelewa '.......wameambatanusha INVOICE........" ,unajua invoice maanake nini?

Ushajiuliza ikiwa Yanga hajalipwa, vipi marefa, timu zilizo shiriki kwenye hiyo michuano au nao TFF wanawadai, jambo linalo hitaji watalamu lifanyike kiutaalam. Sasa Yanga yupo tayari mpaka kuwatumia mauditor wa TRA, Yanga wanataka transparency TFF wanataka busara.

Wewe ni nyumbu. Kama una invoice unashindwa nini kufanya reconciliation? Wewe hayo unayoyasema umeyatoa wapi kuwa Yanga wanahitaji ma auditor wa TRA? Kwa nini wasihitajia ma Auditor wa CAG? Narudia tena mashabiki aina yenu msiokuwa na uelewa wa mambo ndio tatizo namba moja la mpira wetu.
 
Umepitia kwa Farhan mtangazaji wa Clouds, Yanga leo kakabizi risiti tatu za madai misimu mitatu mfululizo,kakabidhi risi ya madai ya timu ya Yanga ya wanawake na risiti ya hela ya CAF anayo idai TFF. Reference

View: https://www.instagram.com/p/DKwV0zRsI76/?igsh=MWtxbnE1cGMxem8yNQ==
Busara tuweke pembeni twende kiutaalam.

Sasa Yanga ndo ilisongesha, iliomba yenyewe kwa barua kuwa mapato ya ubingwa wayaingize kwenye usajili wa wachezaji. Watuoneshe hao yanga risiti za kulipia usajili wa wachezaji wao kama walilipa. Hayo ni kuyatafuta wenyewe, kwa nini usilipie cost zako then chako upewe full?
 
Upepo wa no reform kwishaaaa 😀 😀 😀 ila hii nchi master mind wa social media itakuwa gavoo inamlipa hela ndefu sanaa
 
Wewe ni nyumbu. Kama una invoice unashindwa nini kufanya reconciliation? Wewe hayo unayoyasema umeyatoa wapi kuwa Yanga wanahitaji ma auditor wa TRA? Kwa nini wasihitajia ma Auditor wa CAG? Narudia tena mashabiki aina yenu msiokuwa na uelewa wa mambo ndio tatizo namba moja la mpira wetu.
Reconciliation unafanyeje wakati unadata za upande mmoja? Sometimes unaweza ukagoogle ,umepayuka tena

"In accounting, reconciliation is the process of verifying that two sets of financial records are consistent and accurate. Zingatia " two sets of financial records, sasa Yanga reconciliation wanafanyaje.....?"

Hata TRA mauditor wapo,cha msingi apatikane mtu awe auditor wa kitengo chochote huru,TFF wakabidhi document zao za kuidai Yanga kama walivyo fanya Yanga kukabidhi invoice zake then yy atupatie output.

Yaani unaonekana hata kinacho zungumzwa hukijui, umeona wapi reconciliation inafanywa na upande mmoja,unajifanya muelewa kumbe kiazi.
 
Vip
Tff atoe bonus kwa vyanzo gani? Ndo yalikuwa makubaliano kabla ya mashindano kuwa tff itatoa bonus? Kitu ambacho hakikuwepo kwenye makubaliano b4 usikidai after
vipi kuhusu pesa za viingilio na haki za matangazo? ,,,hoja yangu ni kuwa watu wamestick kwenye pesa ya ubingwa wakati kuna amounts nyingine na yanga nadhani kajumlisha hapohapo
 
Sasa Yanga ndo ilisongesha, iliomba yenyewe kwa barua kuwa mapato ya ubingwa wayaingize kwenye usajili wa wachezaji. Watuoneshe hao yanga risiti za kulipia usajili wa wachezaji wao kama walilipa. Hayo ni kuyatafuta wenyewe, kwa nini usilipie cost zako then chako upewe full?
Hivi unaelewa maana ya Reconciliation? TFF wamesema wamelipa, Yanga wanachotaka data na documents ziongee na zikaguliwe kupitia mauditor. TFF basda ya kuona ngoma ngumu wameomba wakae, mezani na Yanga. Sasa wakae mezani ili iweje? Yanga wako tayari apatikane auditor yoyote yule huru akague mahesabu based on Invoice za Yanga na hizo documents za TFF then atupe output. Tuachane na busara tulipo fikia tuwaachie wataalamu, hizi blah blah sijui hekima na busara haziusaidii mpira wetu.
 
Reconciliation unafanyeje wakati unadata za upande mmoja? Sometimes unaweza ukagoogle ,umepayuka tena

"In accounting, reconciliation is the process of verifying that two sets of financial records are consistent and accurate. Zingatia " two sets of financial records, sasa Yanga reconciliation wanafanyaje.....?"

Hata TRA mauditor wapo,cha msingi apatikane mtu awe auditor wa kitengo chochote huru,TFF wakabidhi document zao za kuidai Yanga kama walivyo fanya Yanga kukabidhi invoice zake then yy atupatie output.

Yaani unaonekana hata kinacho zungumzwa hukijui, umeona wapi reconciliation inafanywa na upande mmoja,unajifanya muelewa kumbe kiazi.
Wewe umemezesha habari za upande mmoja, hutaki kushirikisha akili yako. Huyo CEO wetu mwenyewe amekiri kuwa hajui zawadi ya Bingwa ni kiasi gani. Yanga wanataka kutumia Invoice ambazo hazijalipwa hawataki kutumia barua tulizoomba kukatwa hela. Ukiwa una akili kama pilitoni ni vema uwe makini kusikiliza hoja za pande mbili kisha ushirikishe ubongo. Ipi ni more competent authority ya kufanya reconciliation ya malipo yanayozozaniwa ni TRA au CAG?
 
Kama jambo halihitaji kuandikiana barua? Si kila mawasiliano yanahitaji barua, vingine vinahtaji kuelezeana! Unauliza, unajibiwa n.k sasa unaitwa ofsini unakalia eti nitumieni barua.
Maswala ya kiofisi yanakwenda kwa maandishi, pesa zinadaiwa na kulipwa kwa maandishi. Tff wawaonyeshe tu Yanga hizo risiti za malipo za tra yaishe, wanaogopa nini maandishi na kutaka mazungumzo ya mdomo? Huo ni ubabaishaji
 
Hivi kutoka makao makuu ya TFF na makao makuu ya Yanga kuna umbali wakusafiri miezi mingapi?.Maana naona nikama utoto unaendelea tena unaendelea kwanamna yakitoto kwasababu kila upande unaongea lake na vyombo vya habari vimechukua upande na mitandaoni kila shabiki anajadili kwajinsi anavyoona huku hakuna majibu sahihi.Wanashindwa nini kukutana wakaja na jibu sahihi moja bila kukuza mjadala unaowaonyesha hawana akili.
 
Wewe umemezesha habari za upande mmoja, hutaki kushirikisha akili yako. Huyo CEO wetu mwenyewe amekiri kuwa hajui zawadi ya Bingwa ni kiasi gani. Yanga wanataka kutumia Invoice ambazo hazijalipwa hawataki kutumia barua tulizoomba kukatwa hela. Ukiwa una akili kama pilitoni ni vema uwe makini kusikiliza hoja za pande mbili kisha ushirikishe ubongo. Ipi ni more competent authority ya kufanya reconciliation ya malipo yanayozozaniwa ni TRA au CAG?
Malipo yoyote yatakayo fanyika lazima yawe na stakabadhi ya hayo malipo, TFF jana baada ya press ya Yanga,walisema wamewakata Yanga.Yanga wakaja na barua zinazo onyesha madai haitoshi wakawandikia barua TFF wakiambatanisha na Invoice za madai yao. Sasa mpaka hapa kuna ugumu gani wakufanya hiyo reconciliation? Maana ndio itaclear doubt nani ni muongo na nani anadaiwa,nani documents zake ni kanjanja.

Yanga yupo tayari kipatikane chombo huru cha auditing, wafanye reconciliation maswala kukaa mezani sijui hekima na busara hawa yataki. Sasa hapa kuna ugumu gani.........? Nakuona unapayuka....... ktk hili tunahitaji mauditor wa clear na sio hekima na busara.Hii issue ukipeeleka kiutalamu hata siku tatu haziishi mnapata majibu,tuachane na hizi speculation.
 
Kwa bahati mbaya unazungumzia kitu ambacho huna uwezo nacho. Walienda kufanya nini TFF wakati wanahitaji independent auditors? Haya madai kwanini kuwa wanahitaji watu hao hawakuyatoa mapema? Hiki ni kichaka tu cha kuficha aibu. Na bahati mbaya wameshatumia njia hii ya hadaa na kukwepa uwajibikaji kwa muda mrefu. Mifano iko mingi. Nakualika Uchaguzi ujao tuchukue timu watu makini tuondoe hizi janja janja na hadaa.
 
Yanga walitakiwa wakae na TFF kuangalia ni wapi wametofautiana kwenye mahesabu.

Barua peke yake sidhani kama itajitosheleza kujibu maswali yote.
Vp Mkuu, si una furaha sana saivi ukiona Yanga anavyopambana kivyake kusema ukweli ili nanyi msipte humohumo tena ilihali nyie hamuongei mpo kimya tu kama hapo hivi?

Nyie mlikuwa mnapewa haki stahili?
 
Back
Top Bottom