Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

Kama utopolo wanaandika taarabu hadharani kwanini TFF wasijibu hadharani? Maana wakinyamaza taarabu za utopolo zitaonekana ni kweli dawa ni kupiga palepale kwenye ugoko
 
Kwa hiyo unabisha hiyo haikuwa bajeti ya msimu uliopita? Tupe bajeti unayoijua wewe.
CRDB ilitoa 255ml kwa ajili ya zawadi kuanzia bingwa,mchezaji bora wa match kuanzia round ya 16, mfungaji bora wa mashindano na mchezaji bora wa mashindano.
Kuanzia raundi ya 16 mpaka fainali kulikuwa na match 15 ambapo kila mchezaji bora wa match alilipwa 1ml ambapo jumla 15ml ikaja mfungaji bora ambae ni Mzinze alilipwa 10ml. Kwenye hela zote zikabaki 225ml ambapo Bingwa alikuwa hajapewa hela yake.
Na hapo kuna category ya washindi hawakupewa hela zao.
 
Kama utopolo wanaandika taarabu hadharani kwanini TFF wasijibu hadharani? Maana wakinyamaza taarabu za utopolo zitaonekana ni kweli dawa ni kupiga palepale kwenye ugoko
Na ndiyo makusudi yao. Wanawachokonoa kwa upotoshaji wanajua TFF wakisema wajibizane nao mitandaoni wataonekana hawana maadili ya kiuongozi na hivyo wapate support ya umma ya kutaka wajiuzulu. TFF wakikaa kimya inakula kwao maana itaonekana kama kinachosemwa na Yanga ni cha kweli.

Mimi nasema waanike uozo wao wote wazi na waseme wamelazimika kufanya hivyo kupambana na upotoshaji unaoendelea.
 
Nimekuuliza kwa akili yako ndogo uliyonayo,je hizo 250ml zinatosha kuendesha hayo mashindano mpaka zawadi za Ubingwa?
Mambo kwa ushahidi. Wapi na lini mliambiwa mshindi anapewa milioni 200?

Pia msome mwenzio #15 aliyedhani anapingana na mimi kumbe anasapoti ninachosema. Itakusaidia kujua gharama zingine za uendeshaji wa mashindano zinalipwaje.
 
Kinachoendelea kwa sasa ni kama Injinia Msomali ana agenda yake ya siri, na anaisukuma kwa mgongo wa kuwatumia mashabiki wa Yanga bila wao kutambua.

Leo waliitwa wakakague kiasi wanachodai & kudaiwa lakini matokeo yake hakuna cha maana uongozi wa YangaSC ulichokisema yaani mazingaumbwe tu.
 
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"- Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.

"Kama CEO wa Yanga SC hajui bingwa anapata nini kwanini wanasema wanadai kiasi hicho cha fedha wanachosema."

Maneno ya Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.
Ushahidi wa kimaandishi unaaminika zaidi ya maneno
 
Na ndiyo makusudi yao. Wanawachokonoa kwa upotoshaji wanajua TFF wakisema wajibizane nao mitandaoni wataonekana hawana maadili ya kiuongozi na hivyo wapate support ya umma ya kutaka wajiuzulu. TFF wakikaa kimya inakula kwao maana itaonekana kama kinachosemwa na Yanga ni cha kweli.

Mimi nasema waanike uozo wao wote wazi na waseme wamelazimika kufanya hivyo kupambana na upotoshaji unaoendelea.
Hersi anatamani sana kuchukua madaraka ya Karia, hivyo sishangai hizi drama na ngonjera zao za hatuchezi. Dawa ni kumfungia mbeba maono ambaye ni huyo rais wa Yanga maana haupiganii mpira wetu wala hajali maslahi ya Wanazi wa Yanga, bali anajipambania yeye kama yeye kwa kutumia nembo ya Yanga.
 
Kinachoendelea kwa sasa ni kama Injinia Msomali ana agenda yake ya siri, na anaisukuma kwa mgongo wa kuwatumia mashabiki wa Yanga bila wao kutambua.

Leo waliitwa wakakague kiasi wanachodai & kudaiwa lakini matokeo yake hakuna cha maana uongozi wa YangaSC ulichokisema yaani mazingaumbwe tu.
Ukienda benki huwa wanatoa karatasi yenye kumbukumbu za mapato na matumizi yako na bakaa, sasa taarifa za tiefuefu za mapato na matumizi ya Yanga zipoje, na kama kuna zawadi ya Ushindi au malipo si kuna ushahidi wa kimaandishi
 
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"- Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.

"Kama CEO wa Yanga SC hajui bingwa anapata nini kwanini wanasema wanadai kiasi hicho cha fedha wanachosema."

Maneno ya Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.
Huyu Ndimbo ni mjinga mno. Taasisi zikikutana lazima kuwe na maandishi ya kilichoongelewa. Taasisi kama TFF na Yanga lazima zifanye kazi kwa maandishi.
 
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"- Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.

"Kama CEO wa Yanga SC hajui bingwa anapata nini kwanini wanasema wanadai kiasi hicho cha fedha wanachosema."

Maneno ya Cliford Ndimbo Afisa Habari wa TFF.
1749624328000.jpg
 
Mambo kwa ushahidi. Wapi na lini mliambiwa mshindi anapewa milioni 200?

Pia msome mwenzio #15 aliyedhani anapingana na mimi kumbe anasapoti ninachosema. Itakusaidia kujua gharama zingine za uendeshaji wa mashindano zinalipwaje.
CRDB ilitoa 255ml kwa ajili ya zawadi mbalimbali ikiwemo mchezaji bora wa kila match kuanzia round ya 16,mfungaji bora,mchezaji bora wa mashindano na Bingwa. Haya aliyasema hadharani Mr Nsekela Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Bank mbele ya waandishi wa habari.
 
Kwenye barua ya Yanga waliyoipeleka TFF leo ambayo Ujumbe wa Yanga uliongozwa na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine na Mkurugenzi wa Fedha wameambatanisha INVOICE takribani tano, YANGA hana tabu na kudai au kudaiwa ile vitu viende kwa mfumo.

1- Invoice za Ubingwa Federation Cup zipo tatu kuanzia msimu wa 2021/22.

2- Invoice ya Fedha za Mapato ya Mlangoni za Michuano ya CAF ambazo Yanga walikatwa na CAF ambazo TFF hawajawalipa Yanga.

3- Invoice za Udhamini wa timu ya Wanawake na Mashindano ya Vijana.

Yanga pia wamesititiza TFF wapige hesabu zao na wana machaguo mawili baada ya hapo kuhusu Fedha zao

1- Kuweka fedha zote ambazo Yanga wanawadai inakadiriwa MILLION 426 za Kitanzania, kisha TFF watume INVOICE za Madeni yao yote Jangwani kisha Yanga walipe madeni hayo.

2- Kama TFF waliwakata fedha zote ambazo wanadaiwa, Yanga wanataka kujulishwa kwa USHAHIDI WA RISITI kama ambavyo Sheria za Kodi za nchi zinavyotaka kisha baki yao waingiziwe kwenye account yao ila Makato yote yawe na RISITI.

KISHA Yanga Msimamo wao ni kuwa hakuna maongezi yoyote na kama kuna maongezi (Reconciliation) basi Yanga wapo tayari maongezi hayo yafanyike mbele ya TRA na Mamlaka za Usalama kuhusu MADENI ili kumbukumbu zikae sawa.
 
Ukienda benki huwa wanatoa karatasi yenye kumbukumbu za mapato na matumizi yako na bakaa, sasa taarifa za tiefuefu za mapato na matumizi ya Yanga zipoje, na kama kuna zawadi ya Ushindi au malipo si kuna ushahidi wa kimaandishi
Screenshot_20250611-125959_Chrome.jpg

Soma mwenyewe maelekezo yapo

Back
Top Bottom