Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Wanadekaje labda? Kuna taasisi inafanya kazi kwa maneno matupu bila baruaYanga waache kudekadeka
Kwa akili yako hizo 250ml ndio zilitosha kuendesha michuano yote hiyo kuanzia nauli za timu mpaka zawadi za Ubingwa?CRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?
Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.
Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Yaani Mdhamini atoe 3+bl halafu kila mwaka zitoke 250ml kuendesha mashindano? Hivi hizi akili mnazitoa wapi KolosCRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?
Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.
Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Kwa hiyo unabisha hiyo haikuwa bajeti ya msimu uliopita? Tupe bajeti unayoijua wewe.Kwa akili yako hizo 250ml ndio zilitosha kuendesha michuano yote hiyo kuanzia nauli za timu mpaka zawadi za Ubingwa?
Kwenye mikataba, pesa haigawanywi sawa kila mwakaYaani Mdhamini atoe 3+bl halafu kila mwaka zitoke 250ml kuendesha mashindano? Hivi hizi akili mnazitoa wapi Kolos
Itakuwa hujasoma "taarifa kwa umma" wala kufuatilia ufafanuzi wa hili jambo karibu kwa wahusika wote, bado Yanga kuna pesa anaidai tifutifu.CRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?
Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.
Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Sawa ila siyo hiyo mliyotuambia. Mmeambiwa muende mpate mchanganuo ila kwa kuwa mnajua ukweli mnakwepakwepa.Itakuwa hujasoma "taarifa kwa umma" wala kufuatilia ufafanuzi wa hili jambo karibu kwa wahusika wote, bado Yanga kuna pesa anaidai tifutifu.
Bingwa 200ml na mshindi wa pili 50mlKwa hiyo unabisha hiyo haikuwa bajeti ya msimu uliopita? Tupe bajeti unayoijua wewe.
Warudishe chenji ya watu iliyosalia...Sawa ila siyo hiyo mliyotuambia. Mmeambiwa muende mpate mchanganuo ila kwa kuwa mnajua ukweli mnakwepakwepa.
Yaani unaona mashindano yanaenda Kwa pesa ya mdhamini tuCRDB wametoa jumla ya milioni 250 kwa ajili ya mashindano ya msimu uliopita, halafu nyie mnadai mpewe milioni 200?
Yaani mashindano yanayoanzia ngazi za nchini kabisa, kuna kulipa waamuzi na watendaji wengine wa mashindano, kuna kulipa wachezaji bora wa mechi na gharama zingine, zote hizo zitole kwenye milioni 50 halafu wewe uliyecheza mechi 5 sijui uchikichie milioni 200? Na hapo ukweli mnaujua ila mmeamua kupotosha umma.
Ukweli utawaweka huru wana utopolo.
Nimekuuliza kwa akili yako ndogo uliyonayo,je hizo 250ml zinatosha kuendesha hayo mashindano mpaka zawadi za Ubingwa?Kwenye mikataba, pesa haigawanywi sawa kila mwaka
Ni kama unajaribu kusema ni jukumu la TFF kuzilipia timu gharama za uendeshaji. Vipi kama wadhamini wasipokuwepo, mtaacha kucheza!?Kwa akili yako hizo 250ml ndio zilitosha kuendesha michuano yote hiyo kuanzia nauli za timu mpaka zawadi za Ubingwa?