joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Wewe ndio mweupe unapenda story za vijiweni, watalaamu wapo kwa nini wasitumike kuclear doubt? Unapendwa kudanganywa, wakati watu wamahesabu wapo.Kwa bahati mbaya unazungumzia kitu ambacho huna uwezo nacho. Walienda kufanya nini TFF wakati wanahitaji independent auditors? Haya madai kwanini kuwa wanahitaji watu hao hawakuyatoa mapema? Hiki ni kichaka tu cha kuficha aibu. Na bahati mbaya wameshatumia njia hii ya hadaa na kukwepa uwajibikaji kwa muda mrefu. Mifano iko mingi. Nakualika Uchaguzi ujao tuchukue timu watu makini tuondoe hizi janja janja na hadaa.
Hakuna ukweli wowote kwenye madai ya YangaVp Mkuu, si una furaha sana saivi ukiona Yanga anavyopambana kivyake kusema ukweli ili nanyi msipte humohumo tena ilihali nyie hamuongei mpo kimya tu kama hapo hivi?
Nyie mlikuwa mnapewa haki stahili?
Tulieni sisi tunagonga kichwa tuuHakuna ukweli wowote kwenye madai ya Yanga
Mwanzo niliona hivyo lakini it turns out to be vice versa. Yanga ni wahuni
Vilabu vingine ilitakiwa huu ndo muda wa kuungana na yanga kwenye jambo moja kama sio mawili, kwenye ishu ya pesa na bodi kuwa huru, lakini wote nadhani wanaogopa, sidhan kama wao wanafurahishwa na mkataba wa mabilioni halafu bingwa anapewa 50M, au labda kwakua hizo team hazitwai sana makombe kwahiyo they dont care?Vp Mkuu, si una furaha sana saivi ukiona Yanga anavyopambana kivyake kusema ukweli ili nanyi msipte humohumo tena ilihali nyie hamuongei mpo kimya tu kama hapo hivi?
Nyie mlikuwa mnapewa haki stahili?
TFF jana iliwaita watu wa mahesabuWewe ndio mweupe unapenda story za vijiweni, watalaamu wapo kwa nini wasitumike kuclear doubt? Unapendwa kudanganywa, wakati watu wamahesabu wapo.
Kwani jana TFF si waliwaita, vipi wasingeenda? Kwa akili yako kisoda ungesema Yanga wajeuri. Yanga walienda kuwasikiliza wakiwa na vielezo vyao vya madai, wakiamini TFF wanazo documents za kwao. Ila baada ya Yanga kugundua ,hizo documents wanazosema za makato hamna,ndio wakakataa kuendelea na hayo mazungumzo na wakatoa mapendekezo ya kuwa na mkaguzi wa mahesabu huru kwa ajili ya kufanya reconciliation.
Hii issue ni simple haitaji nguvu Auditor anaiclear na tunapata majibu.
Sasa Yanga wamekwepa uwajibikaji kwenye lipi? Wapi wamekosea? Kuficha ficha upuuzi ndio kumefanya JKT Queens mpaka sasa ,wamechukua ubingwa ,ila hawajapewa kombe, haikufanyika Ceremony ya makabidhiano na wala hela hawajapewa huku wamuzi miezi miwili hawakulipwa posho zao, huoni TFF ndio wanatakiwa kuwajibika? Au ndio oya oya unatembea na kiwiliwili hujui kichwa kipo wapi.
Ndio hivyo mnavyoona huko?Tulieni sisi tunagonga kichwa tuu
Unakurupuka na wewe ,timu yako tena nyie hamjie helewi mmesema hamchezi mpaka uchunguzi wa mechi husika ufanyike ila cha ajabu mnacheza,ili mradi misonekane mnawaiga Yanga.TFF jana iliwaita watu wa mahesabu
Nyie mmepeleka CEO.
CEO ambaye hajui hata pesa anayolipwa mshindi wa kombe la CRDB.
Pamoja na hivyo TFF ilisema mkaguzi wenu wa mahesabu aje wafanye comparison ya mahesabu through records ili wajue wapi wamepishana.
Lakini kwa ujeuri ametua tu documents afu kasepa. Huu ni uhuni
Hata kama kuna sehemu mlikuwa na hoja lakini kupitia hii mmedhihirisha mpo incompetent.
Mkurugenzi wa fedha we ulimuona?Unakurupuka na wewe ,timu yako tena nyie hamjie helewi mmesema hamchezi mpaka uchunguzi wa mechi husika ufanyike ila cha ajabu mnacheza,ili mradi misonekane mnawaiga Yanga.
Umekurupuka tena na hapa CEO wa Yanga alienda na Mkurugenzi wa fedha wa Yanga ,hakuenda CEO peke yake,habari sijui unaziokota wapi.
View attachment 3364629
Unafanyaje comparison wakati stakabadhi ya malipo unayosema wamekata hauna? How labda uniambie ww........ halafu still unaomba mkae mezani mzungumze mnazungumza nini? Swala hili kitaalam halihitaji hekima na busara.
Nyie ndio hata mnacho kiamua hamkielewi kama vikao vya kijiweni, mara hatuchezi mpaka uchunguzi ufanyike ,mara hoo tunacheza,sigara kali hamjui mnacho simamia.
Yanga ni wahuni!Hakuna ukweli wowote kwenye madai ya Yanga
Mwanzo niliona hivyo lakini it turns out to be vice versa. Yanga ni wahuni
Kama kawaidaYanga ni wahuni!
Endelea na maandalizi ya derby tarehe 15,
Mechi isipopigwa tarehe 15, mtapewa bingwa na kombe lenu mda huo huo au hadi kamati ikae tena baada ya kupokea simu ya kigogo yoyote?
Udhaifu wa timu nyingine ndy unawafanya waone vita vyao wamalize wao wenyewe.Vilabu vingine ilitakiwa huu ndo muda wa kuungana na yanga kwenye jambo moja kama sio mawili, kwenye ishu ya pesa na bodi kuwa huru, lakini wote nadhani wanaogopa, sidhan kama wao wanafurahishwa na mkataba wa mabilioni halafu bingwa anapewa 50M, au labda kwakua hizo team hazitwai sana makombe kwahiyo they dont care?
Kwa hiyo wewe ulitaka uwaone wote ndio uamini? Akili za wapi hizi, timu imeongozwa na CEO,CEO ndiye kiongozi wa msafara, hata kwenye kuhojiwa basi atahojiwa yeye,protocol za kawaida.Mkurugenzi wa fedha we ulimuona?
Tuliyemuona na ambaye amethibitishwa na TFF katika kuwasilisha barua ni huyo CEO.
Lakini ujio wao ulikuwa ni kufikisha barua? Hilo ndio swali la msingi.
Kwani zile barua zenu mlizowaandikia TFF kuwa pesa za usajili wa wachezaji wakate huko huko mlikuwa mnategemea stakabadhi zitokee wapi?
Ishu sio tu stakabadhi ishu ni references za ushahidi kuonesha kivipi nyie ndio mnaodaiwa.
Huo wizi wenu wa kihuni hamuwezi kuwaibia wote maana sio mara zote utakutana na watu wasio makini.
Kwahiyo ubingwa mnapewa jumapili na kombe siku hiyo hiyo?Kama kawaida
Jumapili msije tu wala sisi hatuna noma na nyie kutokuja.
Sisi tunataka sheria ifuatwe tu.
TFF wao wenyewe wamethibitisha hilo.Kwa hiyo wewe ulitaka uwaone wote ndio uamini? Akili za wapi hizi, timu imeongozwa na CEO,CEO ndiye kiongozi wa msafara, hata kwenye kuhojiwa basi atahojiwa yeye,protocol za kawaida.
Mazungumzia maswala ya fedha unafikisha barua bila Invoice, unazani Yanga wanaujinga huo.Mpaka Mkurugenzi wa fedha kaenda maana Yanga walienda na kila kitu, ambacho kinacho onesha madai yao.
Kwani Yanga wamekataa na ndio maana wametoa Reconciliation? Unajua maana ya Reconciliation.....? Hawataki siasa za hekima na busara, weka za kwako na TFF anaweka zake, then Auditor anakagua.Ndicho walichopendekeza Yanga.
Halafu hii show nyie Kolo FC inawahusu nini?
Mnatikisa kiberiti?Kwahiyo ubingwa mnapewa jumapili na kombe siku hiyo hiyo?
Kwa nchi zingine hufanya hivyo.
Sidhani kama itakua rahisi hivyo, kombe hampewi
Kwani ktk kinacho fanya kuaminika kauli au documents? Unakichwa kigumu.TFF wao wenyewe wamethibitisha hilo.
Sasa unabidi uje na majibu solid kwanini uone ni rahisi kwa mtu rational kukuamini wewe zaidi kuliko kiongozi wa TFF?
Sasa kama hayo unayoyasema na kuyabainisha kama ni magumu kufanyika mezani na TFF kwanini ilikuwa rahisi kuyasema mbele ya camera bila kuwepo na hizo invoice?
Sasa reconciliation gani inayoweza kufanyika kwa mtu kutua barua na kukataa meza ya mazungumzo ya kutafuta muafaka wa kujua wapi mnapishana?
Halafu hapo hapo tena unaji contradict. Upande mmoja unahubiri reconciliation lakini upande wa pili tena unahubiri kutotaka hekima na busara.
Unajua TFF ingeamua kusimamia kanuni na kukataa hekima leo hii msingeshiriki hii ligi?
Hivi unaelewa kwamba moja ya sharti la timu kushiriki NBC Premier League ni mpaka timu hiyo isajili timu ya vijana?
Unaelewa kwamba mwanzoni wa msimu huu mlishindwa kusajili timu ya vijana?
Unaelewa kwamba sababu pekee ya nyie kushiriki ligi kuu ilitokana na hizo busara ambazo saizi umekaririshwa na viongozi wenu kuwa hazina msingi?
Unaelewa kuwa usajili wa Kisinda ulikiwa na dosari? Kambole je? Na hata humu uzi wake upo.
Hayo yote yangeamuliwa kwa kuiweka busara pembeni unajua outcome yake ingekuwaje?
Acheni uhuni.
Mkuu scars, Young Africans wamewaambia tifutifu kwenye barua Yao ya invoice kuwa kama wanataka majadiliano, basi TRA na TAKUKURU wawepo.Yanga walitakiwa wakae na TFF kuangalia ni wapi wametofautiana kwenye mahesabu.
Barua peke yake sidhani kama itajitosheleza kujibu maswali yote.
Wakati wanatoa zile assertion kuishutumu TFF hao TRA na TAKUKURU walikuwepo?Mkuu scars, Young Africans wamewaambia tifutifu kwenye barua Yao ya invoice kuwa kama wanataka majadiliano, basi TRA na TAKUKURU wawepo.
Mkuu ukiona mtu anatoka kwenye relief huyo akili kisodaHatua za maksudi za kututoa kwenye reli ktk kipind hki chenye matukio mengi ya muhimu...
Ngoja joseph1989 on my behalfWakati wanatoa zile assertion kuishutumu TFF hao TRA na TAKUKURU walikuwepo?
Halafu kingine hivi katika hali tu ya kawaida kwenye jambo la uhakiki wa taarifa za fedha TRA na TAKUKURU wanahusika vipi?
Na vipi kuhusu madai yao hewa kuhusu kiasi cha milion 200 ambacho kwa madai yao wanaona ni pesa ambayo alipaswa apewe bingwa wa shirikisho ambaye ni yeye.
Wewe kwa upande wako unaona madai haya yana mashiko yeyote?