Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

Hivi wewe ukienda benki kujua Hali ya mkeka wako unaanza na maongezi na Afisa wa benki au anakupa mkeka wako, ukiona Una tofauti ndio , utaupitia mkeka wa benki nataarifa zako kuona tofauti zipo wapi , na ndio maana uwekaji wa taarifa za kimaandishi ni muhimu, na kupeana taarifa Kwa wakati. Wewe Leo unalipa deni langu , nakala hunitumi, Mahesabu yatakubaliana hapo ktk Hali kama hiyo.
 
Ukiisha ona watu wanataka Busara ujue , uwezo na Shule zao gongana
 
Porojo na nyaraka ni vitu tofauti
TFF ni taasisi

Afisa habari wa TFF ana matatizo kichwani yeye anadhani atakuwepo kwenye hiyo taasisi milele namkumbusha huu mwaka ni wa uchaguz pale TFF, bila kuwa na nyaraka, (documents), uongozi unaokuja utafanyaje kazi

Swali fikirishi je uongozi unaokuja utakabidhiwa porojo, hata huko kwenye kuoa ama kuchumbia kuna barua ya posa na gharama za mahali, (posa), huandikwa, (document)

Public figures have to keep their words
 
Hata unapotaka kuweka pesa unaandika mkeka wa pesa uliyo nayo siyo porojo ama diamondo saundo
 
Maswala ya fedha yana UTAALAMU wake, kwa vyovyote vile.
Wachambuzi watafata ya mpira ya HATUCHEZI NA TUNACHEZA!!
East Africa Radio mbona mnatulisha MATANGO PORI??? Huyo ni muandishi wenu katika kipindi cha "kipengaextra"? Mmemuuliza alichokisema?? Anajua tofauti ya BARUA NA INVOICES? Nyie mkitaka kudai mtu au kudaiwa mnaletewa barua?? Au invoice na delivery note?? Na wewe ukilipa au kulipwa si unapewa au kutoa Payment Voucher na Receipt??

WACHAMBUZI WANAOITA "BARUA" na TFF wapo sawa kweli?? Young Africans Sports Club wamefanya kitu kizuri. Na KAMA TFF NDO WANADAI KWELI, INAWASAIDIA WAO KWA ASILIMIA 100.
YANGA wamefanya professionally! Wana akili nyingi saaaaaana ase!!! Sijui nani kawashauri. Hiyo ndo CPA (UHASIBU/ACCOUNTANCY! LAZIMA UTUMIE UTAALAMU WA UHASIBU...
HAO WAANDISHI WANAYEONGEA WATAKUWA AWAELEWI,. AU WASILOLIJUA NI HIVI. YANGA WAMEPELEKA INVOICES. SIYO BARUA!!!
Mfano:
MIMI NINA KAMPUNI NAKUDAI, WEWE UNA KAMPUNI UNASEMA KUNA MADENI UNANIDAI....
*NAKULETEA *INVOICE NA DELIVERY NOTE KUKUDAI PESA ZOOOOTE.
*WEWE UNAPASHWA KUNIPA *PAYMENT VOUCHER NA RECEIPT.
TUMEMALIZA.
Ukikataa, au atujaelewana ndo tunawaita TRA (Tanzania Revenue Authority) NA WATAALAMU WA MADENI, NA MIMI NA WEWE. Tuanze kuoneshana kimoja kwa kimoja. Ndo YANGA wamefanya. Na tutaonyeshana nini, documents. Invoice yangu namba flani, naoneshay; haya wewe onesha ulinilipaje?? Kama ulinilipa au kunikata onyesha risiti ya serikali/EFD na Payment Voucher namba ngapi... simple and clear!
Umeelewa Bwana Mkubwa??
 
Umeeleza vyema hata Mimi ambaye Sina uelewa juu ya taaluma ya fedha nimeelewa vizuri
 
Dah utopolo bhana mnachekesha sanaaa
 

Attachments

  • Screenshot_20250612-134437_WhatsApp.jpg
    118.5 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…