Dear watu wamevurugwaa niamini mie, huu ugumu wa maisha watu unawa wehushaa kabisaa, yaan hawaelewiii.Kumbe Mungu wako hana noma na wewe mshirikina, Mungu wako anapenda akikuona unagalagazwa makaburini ili upate utajiri na unapotembea na hirizi inayopomua kiunoni ili kuwakomesha majirani zako ila Wasagaji tu ndio kawakasirikia [emoji38]
Sijui kwanini nikikuonaga naona utamu unateseka bure bila matumizi sahihi daah jmnDah! Shukrani sana Mwanetu, tutatoboa tu,
Jah will bless
Sijajua yupo na nani kwa sasa(wanaweza kua wanaachana na kurudiana pia), hatujaonana siku nyingi sana tangu boss wangu mmoja hivi afariki (hadi Mange alimpost), nikipata trip ya Mwanza maumbea yote nitayapata
Kuna demu mmoja Tanga nimakali Sana yule demu, nimke wamtu lakini hajabahatika kupata mtoto, ana miaka nane ndani ya ndoa. Ni msagaji yule dem . Mwanamke mzuri mzuri kweli yaani hua nikimuangalia naishia kusikitika. Lakini hajui kama nafahamu kama ni msagaji .Haya mambo ya wasagaji yaskie TU
Usiombe mkeo/galfrend wako aingie mikononi mwa msagaji, achomoki[emoji1]
Kumbe wanawake wenyewe wanamkimbilia kisa ana pesa, sasa wanaume na wao ilibidi watafute pesa ili huyo stud akose watu, sasa wao wana muua khaaah.Wanaosh pamoja milembe kajenga nyumba mwanza na wanawake huwa wanamgombania maana anahonga sio bahili [emoji23][emoji23]
Kila siku mie huwa nasema hapa, hili suala la wananchi kuchukua maamuzi hasi holela litakuja fika pabayaa, na watu sahiv washajua zigo linaangushwa mapenzi ya jinsia 1, wanajua hapo hakuna atae jaliii.Ila waTz hizi tabia za kuua uana mmerithi wapi hizi roho? Mtu anaweza kuja kukuua kwa mambo yake personal akakusingizia ushonga/usagaji. Shauri yenu mkijihisi mko salama.
Tunachukua Sheria mkononi kiasi hikiNipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.
Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.
Wenye taarifa kamili tujulisheni.
GENTAMYCINE kama upo ukanda huo nadhan utakua na taarifa kamili.
Nawasilisha.
Umaskini wa fikra, plus ugumu wa maisha.H
Hebu fikiria mtu kidudu chake mwenyewe unaanza kumuua hizi nazo ni roho za kishetani!Kuna faida gani kuuchukia ushoga na usagaji na kuupenda uuaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee endelea kuteseka tyuuh, na nitakutesa sanaaa, hadi pale utakapoona maisha yako mie sio shida zangu.your days are numbered
Dunya wewe
Na ninaskia wasagaji hukojozwa na kupata roho kuliko kukutana na wanaume. In short huu mchezo una addiction mbaya sanaSijajua ila nilikuwa tulikuwa tunafanya Field huko GGM kipind fulan kuna demu alikuwa msagaji alikuwa Ana hela chafu nakumbuka aliniibia na demu wangu ndyo michezo yake ile kama amekufa nitafurah sana
Ndio hivyo akija sehemu lazima vurugu chupa zirushwe na anapenda mno mademu hata huyu bonge wake alikuwa anatukanwa mno πππ ila nadhan siku hiizi kaacha maana huwa anaenda hapo cask na hakuna vurugu na nasikiaga anapenda group sexLast time nakutana nae tulikua pale Gold Crest upande wa Club, mida kama ya saa sita hivi akaja na crew yake kama wote, tuliokua nao wakasema basi huyu akija tu hapa hali ya hewa inabadilika malizieni tusepe, na kweli akaja tulipo akasalimia akakaa, kumbe pale club kuna mademu watatu kishapita na bado anapita kimtindo na hiyo siku kaja na demu mwingine aisee dkk 20 nyingi niliona tu chupa zinarushwaaa sie mbiooo, mademu wote wamekuja kumzingua eti wamemfumania, duh!?
AiseeNi kweli nimewasiliana na watu wa ggm ameuwawa vibaya sana...
Acha niwe mkweli na dunia inisome.Akaaah tulizeni nyoyo zenu, nina wangu mie nimetulizana sitaki majaribu
duhNi kweli nimewasiliana na watu wa ggm ameuwawa vibaya sana...
Kuna umuhimu wa kubadili hii username sasa!My Dear Saint Anno II I know you are such an intelligent woman, decided , practical, determined and God fearing Woman , let me advice you ....
Don't use your energy to argue with such a fool ,moron imbecile person !!!!
Utanishukuru, Wapumbavu Huwa wanakawaida ya kutaka uuongelee Upumbavu wao kwao ni Furaha !! π€£π€£π€£
Usipompa hiyo nafasi, Huwa wanajidharau ,wanaumia sana .