Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha Kwakweli ingekua n shangwe na lile vibe la Kwa mkapa wangepoteana
Hapa kwa Mkapa alafu mechi ya Petro na Mamelod ipo Angola?Kipindi cha mapumziko ya hii mechi walikuwa wameweka tukio la jana hapa kwa Mkapa
Tatizo n matokeo ya Jana walau mngeshinda. Kumfunga Al ahly kwake sio kitu rahisiSio na Simba?
Mbona mnatuchukulia kinyonge
Ngoja tusubiri lolote linawekana Ila najua mtatolewa hata Kwa hujumaKwa Simba hii atafungwa tu
Hawa Petro nilivokua nawachukulia n tofauti kabisa Ila hata hivo Mamelody huenda ndo timu Bora Africa tukiacha siasa za waarabuMamelodi ....
Kuanzia wanacheza wakiwa hawana mpira wana press sana juu Kwa Hawa petro .......
Na petro wakifanikiwa kufikia kuanzia eneo la karibu na kiungo mkabaji wa mamelodi ....wanakabwa mwilini sio spaces .........hamna utani kabisaa.......na wanakua wengi kweli........
Mawazo yangu japo siujui sana mpira kiuchambuzi.
Hujui wanavyopanga?. Wanapanga timu mbovu port moja na zile za kiwango port nyingine. Kwa hiyo hapo port 1 kulikuwa na Mamelod,Al Ahly,Tunis na Wahdad.
Kabisa japo numbers zinawakataaHawa Petro nilivokua nawachukulia n tofauti kabisa Ila hata hivo Mamelody huenda ndo timu Bora Africa tukiacha siasa za waarabu
Hata Hawa petro sio kwamba ni wabaya ila wanazidiwa tu namna ya utumiaji wa nafasi na michezo Yao ya offside trick inawaua...Hawa Petro nilivokua nawachukulia n tofauti kabisa Ila hata hivo Mamelody huenda ndo timu Bora Africa tukiacha siasa za waarabu