AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

Hivi Hawa ndo walikua Kuna timu hapa bongo inaomba ipangiwe nao.........😂🙌
Ule ulikua ni utani aisee
 
Mamelodi ....
wakiwa hawana mpira wana press sana juu Kwa Hawa petro .......
Na petro wakifanikiwa kufikia kuanzia eneo la karibu na kiungo mkabaji wa mamelodi ....wanakabwa mwilini sio spaces .........hamna utani kabisaa.......na wanakua wengi kweli........

Mawazo yangu japo siujui sana mpira kiuchambuzi.
 
Mamelodi ....
Kuanzia wanacheza wakiwa hawana mpira wana press sana juu Kwa Hawa petro .......
Na petro wakifanikiwa kufikia kuanzia eneo la karibu na kiungo mkabaji wa mamelodi ....wanakabwa mwilini sio spaces .........hamna utani kabisaa.......na wanakua wengi kweli........

Mawazo yangu japo siujui sana mpira kiuchambuzi.
Hawa Petro nilivokua nawachukulia n tofauti kabisa Ila hata hivo Mamelody huenda ndo timu Bora Africa tukiacha siasa za waarabu
 
Kwanini hatukupewa hawa Petro de Luanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui wanavyopanga?. Wanapanga timu mbovu port moja na zile za kiwango port nyingine. Kwa hiyo hapo port 1 kulikuwa na Mamelod,Al Ahly,Tunis na Wahdad.
Port 2 ndio kulikuwa na hao underdog wengine. Na hizo juu za port 1 ndizo zitakazoingia hatua inayofuata
 
Hawa Petro nilivokua nawachukulia n tofauti kabisa Ila hata hivo Mamelody huenda ndo timu Bora Africa tukiacha siasa za waarabu
Hata Hawa petro sio kwamba ni wabaya ila wanazidiwa tu namna ya utumiaji wa nafasi na michezo Yao ya offside trick inawaua...
Hawapati nafasi ya kucheza kuanzia kwenye robo tatu ya mamelodi ni mwendo wa kung'atiwa meno haswa Tena mwilini hamna Cha kuachia spaces .......
Tuna la kujifunza ha
pa
 
Back
Top Bottom