Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Mbadu...anapataaa

Ghana 5 - 4 CIV

Al manusura kipa adake
 
Kolo Toure....anapataaa

Ghana 5 - 5 CIV
 
Hapo sasa! nilitamani Ghana washinde lkn hali ngumu.
 
Huyu Golikipa wa Ghana ndo katumaliza kabisa, penati kumi kashindwa kuchez hata moja na ya kwake kamplekea Barry mkononi.
 
Sasa ni zamu ya kipa wa CIV kupiga lakini kaumia inabidi atibiwe...

Ghana 8 - 9 CIV

Baada ya miaka 23 Cote de Ivoire ni mabingwa wa Afrika 2015.

Kocha wa Ivory Coast analiongoza taifa la pili la Afrika kubeba ndoo ya Afrika. Mara ya kwanza akiiongoza Zambia katika fainali za Gabon/Equatorial Guinea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…