pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Watanzania bana, sasa uswahili wote huu ni wa nini? Hakuna Presidential Press Unit ikulu? Maanake uvumi hatari kama huu unapoibuka nchini Kenya, wakenya huwa wanawalazimisha PPU wawajibike kwa kutoa taarifa rasmi. Vitu vingine sio vya kukuzwa au kupuuzwa kwa uzembe na usiri wa kiboya tena usiokuwa na tija.