African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Sio mara ya kwanza viongozi wa Tanzania kuwa airlifted to Nairobi.
Hata mkewe Nkurunziza alitibiwa hapa Nairobi.
This was a few weeks ago

IMG_20210310_084617.jpg
 
Vyombo vya habari vya Kenya vinadokeza kwamba viongozi mbalimbali wa nchi za kiafrica , hususan Kaskazini mwa Africa wanaendelea kuwasili Kenya kwa matibabu .

View attachment 1721490

Bado haijafahamika umahiri wa hospitali za kenya kiasi cha kuwavutia raia wa nchi zingine , bali tunatoa shukrani kwa wakenya kutokana na Ukarimu wao , Tunawaombea kwa Mungu ili awazidishie palipopungua .

Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
Kupona kwq tundu lissu kumeipaisha sana hospital ya kenya hizi siku za karibuni
 
Never: Kiongozi toka Tanzania hawezi kwenda kutibiwa Kenya hata siku moja.

Huu ni upuuzi mkubwa kabisa na kuyaka kujipatia umaarufu kirahisi.

Viongozi wote wa Tanzania wakuu wapo vizuri na wanaendelea na majukumu yao.
Tundu Lissu alikuwa kiongozi pia
 
Wewe hujui Kenya uzalendo fake wa kitanzania unakusumbua......Kenya private medical facilities iko juu sana na madakitari bingwa wengi kutoka India na Europe, sema tu gharama zao.
Wakenya wenyewe wanavuka boda Tz kupata matibabu Kcmc na Selian..
 
Back
Top Bottom