African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Huo ni urongoooo tu...ila habari ya kutisha ipo hapo chini.....KENYA KUNA ZOMBIES
20210310_090927.jpg
 
Kwasababu ya unafuu wa gharama sio kwa ubora wa matibabu, tena hao ndo wakenya masikini tabaka la chini
Ambao ndio 95% ya Wakenya,
Kwani unadhani wangekuwa hawaponi wangeendelea kuvuka boda?
 
Kama ni kweli yuko hospitalized Nairobi! Hii aibu sijui Magu ataruka vipi hapa East Africa?

It will shows hospital facilities za Tanzania ni mediocre and local Kama nyimbo za Ken Wa Maria. [emoji16]
Hospitali kuu Tanzania inafunga tanuri la kujifukiza, unategemea nini zaidi. Heri kutibiwa Nairobi
 
I agree with the Private Hospitals in Nairobi, kwa Public Hospitals Tz is the best, so far JPM will not seek treatment in Kenya, atatibiwa hata na Wanajeshi wa JWTZ but never is Kenya, he has been battling cardiac arrests for quite long and never stepped his foot out of Africa.
Ona Sasa umeanza kutetemeka. Si huwa munasema Muna hospitali Bora East Africa?
 
Wacha kuwa mpuuzi nawe lifungiwe for what? kwani African leader ni JPM Pekee? Binafsi nadhani atakuwa Salvar Kiir! Maana kushakuwa na hints zikiimplicate several officials ato his statehouse falling sick!
Binafsi siamini habari hii iliyochapishwa na Nation media group unless walete evidence lakini pia wewe wacha kupinga kwamba anayezungumziwa kwenye habari hio ni Magufuli. Soma hio article vizuri. Imesema wazi kuwa rais huyo amekuwa akipinga uwepo wa corona ila wiki mbili zilizopita akabadilisha msimamo na kukubali kwamba corona ipo. Halafu hajaonekana hadharani wiki mbili. Salva Kiir hajawahi kupinga uwepo wa corona. Magufuli tu ndio the only leader aliyepinga uwepo wa corona na juzi juzi akabadilisha msimamo na kuambia watu wavae mask. Halafu hajaonekana hadharani kwa siku kadhaa.
 
Tunaomba corona itutoe kimasomaso kwa kumswap huyu mtesi wetu

Ni afadhari tuongozwe na mwanamke wa kizanzibar kuliko huu utopolo
 
Magufuli hawezi kupelekwa kutibiwa Kenya au nchi yoyote ya jirani hata siku moja! Upuuzi mtupu huu.

Majuzi tu alikuwa anzunguka Dar akimaliza ziara yake kama wiki moja tu iliyopita kwa kufanya uteuzi wa Bashiru, lakini leo hii wanasema amekuwa anaumwa kwa mwezi mzima haonekani hadharani!

Kwani Magufuli Mungu ? si nae ni binadamu anaumwa siku moja tu ? si alituaminisha yale masauna pale Muhimbili yanafanya kazi ?
 
Tunaomba corona itutoe kimasomaso kwa kumswap huyu mtesi wetu

Ni afadhari tuongozwe na mwanamke wa kizanzibar kuliko huu utopolo
Kufa hafii ila atakubali kwamba corona ipo. Kakurupusha mwezie kutoka kwenye oksijeni ajitokeze hadharani, sasa ni wakati wake nayeye atoke sasa kuprove critics wake wrong!!!!!
 
Mimi nazishangaa pande zote.

1. Hao waliomzunguka, nakubaliana nawe kuwa kuna wanafiki. Mbele yake wanamchekea na kumnyenyekea lakini nyuma yake wanamteta vibaya mno.

2. Wanaoonyesha furaha zao endapo atapoteza maisha!! Hiki ni kilele cha ujuha aisee. Hivi mtu utafurahiaje jambo limpatalo mwenzio wakati na wewe litakupata? Sijui ni akili za wapi tu hizi. Kifo hakina mwenyewe. Ni chetu sote. But oh well....
BEN SAA NANE,TUNDU LISU NA AZORY GWANDA.DUNIAN HUWEZ PENDWA NA KILA MTU,tumuombeee
 
Back
Top Bottom