Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Akiondoka na hii kitu itakuwa aibu sana. Totally unnecessary !!!Tatizo Magu naye kazidi ujuaji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiondoka na hii kitu itakuwa aibu sana. Totally unnecessary !!!Tatizo Magu naye kazidi ujuaji...
Rejelea swali lililoulizwa. Kuna kitu kinaitwa "Comprehension".Kwa hiyo Tanzania ni sawa na Burundi??
Unapotaka kununua mwenzio Ili wewe upate huwa inakuaje? Wewe unaongea kama binadamu au malaika au non living thing?Mimi nazishangaa pande zote.
1. Hao waliomzunguka, nakubaliana nawe kuwa kuna wanafiki. Mbele yake wanamchekea na kumnyenyekea lakini nyuma yake wanamteta vibaya mno...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Malengo yetu ni hospitali ya Bugiri Chato iwe na hadhi hii.
Mijamaa kibwege sana. Kimeuliza kikapewa jibu muafaka.... kinaanza kutapatapa kama mbuzi anayetaka kupandwa. ..Rejelea swali lililoulizwa. Kuna kitu kinaitwa "Comprehension".
Watu wengine wanadhani kile kidudu kinaogopa walinzi wenye mitutu ya bunduki...Nkurunziza alikuwa adamant hivyo hivyo lakini yaliyomkuta kila mtu anafahamu. Watu ndio wanatambua kuwa fulani ni rais lakini virusi havijui hilo na wala urais wako haiwahusu.
Kila siku unatakiwa uwatendee wenzako kile unachotaka ufanyiwe wewe sio unaburuza watu ukifikiri wewe una ukoo na Mungu. No human being is immortal.
kinaanza kutapatapa kama mbuzi anayetaka kupandwa. ..[emoji2839][emoji2839][emoji1550][emoji31][emoji23]Mijamaa kibwege sana. Kimeuliza kikapewa jibu muafaka.... kinaanza kutapatapa kama mbuzi anayetaka kupandwa. ..
Kiongozi wa CCM ... ungekuwa specific kabisa ili upunguze wigo wa maswali.Never: Kiongozi toka Tanzania hawezi kwenda kutibiwa kenya hata siku moja.
Huu ni upuuzi mkubwa kabisa na kuyaka kujipatia umaarufu kirahisi.
Viongozi wote wa Tanzania wakuu wapo vizuri na wanaendelea na majukumu yao.
Duuuh!!!Sijui nini kina kutatiza ila naona una viashiria vya "Hate with passion" Kwa Ngosha. Usichanganye kati ya misuguano katika mahusiano na kuvunja mahusiano.Kwenye mitandao ya nyie mataga ndio mnajua hayo ila kwenye govnt machinery uhusiano uko kawaida na approachable
Kama uhusiano ni mbovu mbona hamumrudishi balozi Tzn na kumtimua wa Kenya?
Kuhara huku ndio maana mnaumbuka nyie mataga wa mitandaoni
Not some people, Majority of Kenyans and I wonder he is not even your President [emoji3][emoji3][emoji3]Some people really don't like Magufuli.
Utakufa wewe kabla yake.Huyu atakuwa amekufa sababu ya ujinga wake.Mimi ni miongoni mwa watu wanaosubiria kifo chake kwa hamu sana.na hamu ya kuona atakavyosimamia uchumi akiwa kaburi maana kwake uchumi hauwezi kulinganishwa na kitu chochote kile.Haya si maneno yangu bali aliyasema mwenyewe pale singida
"Akibahatika kustaafu"Ndio raha ya sie wa upande wa pili kuona maccm yakiparuana.
Kwa taarifa yako maccm yanamchukia Sana mtu wao kwa sababu ni mbabe,ana dharau na kutukana wenzio hadharani huku akijiona yeye ndio ana akili
Huwa nasemaga akibahatika kustaafu hakuna rangi ataacha kuona pindi akiwa nje ya madaraka maana sidhani kama Ana rafiki yule
Kama hujui kama Jina lako usifungue domo lako,Wengine waliwekeza kwenye kununua Wana ventilators while sisi tukiwekeza kwenye kujitoa ufahamu,propoganda na nyungu,hapo bado huoni Kama Kuna tofauti mkuu?
Kwa akili timamu kwenda kusoma twitts kama hizi na kuzireproduce online ni jambo la ajabu sana. Analysis ya chini sana ni lazima ionyeshe kuwa siyo za kweli, kwani hata kama magufuli anaumwa hawezi kwenda kutibiwa Kenya sababu tayari hospitali za Tanzania zina uwezo mkubwa sana, na inapokuwa ni kuuguza VIP hakuna atakalopata Kenya ambalo hawezi kulipata Tanzania. Halafu kwa ego ya magufuli bado hawezi kufanya kitu kama hicho, na vile vile kwa ego ya wakenya, ni lazima wangeonyesha angalau picha ya ndege iliyomtelemsha.
Achana na propaganda za watu!Tatizo Magu naye kazidi ujuaji...
Mitandao imejaa propaganda siyo ya kuamini hata kidogo!Kama anapitia mitandao ya kijamii kwa muda huu... nadhani ndo atawajua vizuri watu anaowaongoza... kuna kundi kubwa sana la wanafiki wamemzunguka... na hakika hao ndo vinara wa uvujishaji wa habari...
Inasikitisha sana kuona waliokuwa wanakuita chaguo la Mungu wanakugeuka ghafla, huku wengine wakikuombea mabaya...