African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Then kuchagua kwenda Kenya kimatibabu wakati Kuna tension Kati ya serikali ya Magu na Kenyatta ni hatari saana. Watamtandika sumu kuvu apumzike kwa amani.

The same na Nyerere alikataa asiende kutibiwa England ila mkapa akang'ang'ania then soon akafa hopsitalini. Nyerere aliona kwamba hawa jamaa niliwanyang'anya nchi haitawezekana wanipende at least nipelekeni China, hakupelekwa China akapelekwa kwa adui yake London, wakamalizana nae mapema tu.

Kumpeleka Magu Kenya wakati aliwachomea vifaranga vyao majuzi tu Ni bad card, hawajasahu wale watampatia sumu kuvu ya mahindi yule.
Umeongea utumbo..
 
Mpaka sasa ni fununu, twasubiri taarifa rasmi, kama kweli twamtakia kila la kheri, kama hajaenda huko basi wazandiki wako kazini, kama yupo nchini na anaumwa Pole zake na apone rais wetu arudi kazini, kama haumwi na watu wanazusha basi hiyo inasikitisha sana sana sana...
 
Msukule pekee utakaoenda nao kaburini huu hapa

Kwa taarifa yenu. Huo ni uzushi ambao hili gazeti litaugharimu.
Pili hata umchukie au umpende vp kiongozi wa nchi asilimia kubwa ya ufanisi wako binafsi hautegemei rais wako, bali ni wewe mwenyewe. Ukizembea katika maisha, kila mmoja utambebesha lawama, wakati ukweli ni kwamba wa kulaumiwa ni wewe mwenyewe.

Kwa hiyo ndg yangu, huyu siyo kiongozi wa kwanza wala wa mwisho. Watakuja watapita, lkn raia ambaye anajitambua atasimama daima dawamu.
 
Vyombo vya habari vya Kenya vinadokeza kwamba viongozi mbalimbali wa nchi za kiafrica , hususan Kaskazini mwa Africa wanaendelea kuwasili Kenya kwa matibabu .

View attachment 1721490

Bado haijafahamika umahiri wa hospitali za kenya kiasi cha kuwavutia raia wa nchi zingine , bali tunatoa shukrani kwa wakenya kutokana na Ukarimu wao , Tunawaombea kwa Mungu ili awazidishie palipopungua .

Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
Mungu si Athumani. Palepale alipolazwa Lissu, ndipo anapolazwa mfitini wake sasa. Omba toba sasa.
 
Magufuli hawezi kupelekwa kutibiwa Kenya au nchi yoyote ya jirani hata siku moja! Upuuzi mtupu huu.

Majuzi tu alikuwa anzunguka Dar akimaliza ziara yake kama wiki moja tu iliyopita kwa kufanya uteuzi wa Bashiru, lakini leo hii wanasema amekuwa anaumwa kwa mwezi mzima haonekani hadharani!
mzee mwenzangu hivi ni kwa nini kenya tuu ?ngependa sana kusikia nenolako juu ya historia ya mfululizo wa false accusations dhidi ya tanzania zinazofanywa na hawa ambao tunasemaga ni ndugu zetu
 
Hahaaa. Typical nyumbu!!! Not very smart. IQ in the single digits 🤣🤣.

Sema ‘unahisi’, ‘unadhani’, au ‘unasadiki’....
Imeisha hiyo nyani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wengine waliwekeza kwenye kununua Wana ventilators while sisi tukiwekeza kwenye kujitoa ufahamu,propoganda na nyungu,hapo bado huoni Kama Kuna tofauti mkuu?

Hakuna taifa ambalo halina ventilators kwenye ICUs zake. Hata toolkit ya doctor wa Rais pengine inajumuisha ventilator! Kilichofanyika wakati wa mlipuko wa COVID-19 ni kwa mataifa kuongeza idadi ya ventilators, sio kununua kwa mara ya kwanza!
 
Back
Top Bottom