African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Mimi nazishangaa pande zote.

1. Hao waliomzunguka, nakubaliana nawe kuwa kuna wanafiki. Mbele yake wanamchekea na kumnyenyekea lakini nyuma yake wanamteta vibaya mno.

2. Wanaoonyesha furaha zao endapo atapoteza maisha!! Hiki ni kilele cha ujuha aisee. Hivi mtu utafurahiaje jambo limpatalo mwenzio wakati na wewe litakupata? Sijui ni akili za wapi tu hizi. Kifo hakina mwenyewe. Ni chetu sote. But oh well....
Huyu atakuwa amekufa sababu ya ujinga wake.Mimi ni miongoni mwa watu wanaosubiria kifo chake kwa hamu sana.na hamu ya kuona atakavyosimamia uchumi akiwa kaburi maana kwake uchumi hauwezi kulinganishwa na kitu chochote kile.Haya si maneno yangu bali aliyasema mwenyewe pale singida
 
Kama ni kwel bas namuombea M/Mungu ampe uponyaji wa haraka kiongozi wet, kama taifa tunamuhitaji sana na familia yake pia.
Though naomba iishie kuwa tetesi.
Naungana nawe katika hayo unayomtakia. Nikiongeza kwamba, atakapopona vizuri apate nguvu na ujasiri wa kujua kwamba yeye ni binaadam tu kama sisis wengine sote. Urais hauongezi chochote cha ziada kwenye hali ya ubinaadam.

Asione aibu kukiri udhaifu wake na ajirudi katika makosa mengi aliyokwishafanya kwa kiburi kinacholetwa na urais wake.

Lakini hapa tulipofikia, nadhani hatua ya "tetesi" sasa imebadilika. Inabidi tukubali kwamba ni kweli.

Akipona, ni bora pia ajiulize maswali mazito. Inakuwaje apelekwe hospitali ya nchi ya jirani?
 
The story is behind a paywall. I have paid so you don't have to.

By Aggrey Mutambo & Washington Gikunju

What you need to know:​

  • Multiple sources confirmed that the leader who has reportedly been ailing since late last month.
  • The country has recently softened its stance on the pandemic.
The leader of an African country who has not appeared in public for nearly two weeks is admitted to Nairobi Hospital for Covid-19 treatment, even as his government remains mum on his whereabouts.
The leader, who regularly addresses church congregants and public rallies when inspecting or launching government projects, was last seen in public on February 27.

The Nation cannot disclose his name as officials from both governments declined to officially confirm his admission to Nairobi Hospital, citing diplomatic protocol.
Multiple sources, however, confirmed that the leader who has reportedly been ailing since late last month, flew to Kenya on Monday when his health deteriorated.
Tens of senior government officials and religious leaders in the country have died from suspected Covid-19 infections in recent weeks.

Last public appearance​

While addressing a gathering in one of his last public appearances, the leader advised his citizens to take precautions against the Covid-19 pandemic.
His government has, however, remained adamant against enforcing public health measures such as wearing face masks, sanitising and banning of large gatherings.
Opposition leaders who spoke to the Nation said diplomatic sources had indicated that the leader has been on a ventilator.
They chided government officials for holding onto information on the leader’s whereabouts and health.

Account of infections​

There has been no official information from the government on whether the leader is unwell or merely taking a break.
His government faced a lot of criticism over the way it handled the Covid-19 pandemic in since its onset early last year.

Unlike most countries across the world including Kenya and the rest in the continent, the country did not go into lockdown to slow down transmissions.
Health officials in that country do not give a daily account of infections.
It has also refused to tap into the supply of Covid-19 vaccines, arguing that the drugs need to be verified by local scientists and health experts first.

Mass hysteria​

In recent weeks, however, the country has softened its stance on the pandemic, its top officials arguing that it was managing mass hysteria, rather than denying the existence of the Covid-19 pandemic.
The change of tune came after the clergy mounted pressure for more disclosures about Covid-19 and measures to be put in place to stop its spread.
The Catholic Church in the Africa country recently said its top clerics had died from ailments with symptoms similar to those of Covid-19.
It then distributed guidelines to bishops of various dioceses on measures to protect themselves against Covid-19 while conducting mass, weddings, prayers and other services.
The World Health Organization has also repeatedly pressed the country to disclose its Covid-19 infection numbers and issue public warnings against the deadly virus.
Hili hata binti yangu anfeweza kujibu
 
COVID-19 sio ugonjwa wa kutafutiwa msaada wa kitabibu nje ya nchi. Hakuna nchi ambayo inauwezea kuliko nchi nyingine!
Wengine waliwekeza kwenye kununua Wana ventilators while sisi tukiwekeza kwenye kujitoa ufahamu,propoganda na nyungu,hapo bado huoni Kama Kuna tofauti mkuu?
 
Chanzo cha habari hii ni gazeti kubwa Nation.Africa na lenye heshima kubwa kanda hii ya Afrika na linasomwa sana online duniani kote kutokana na pia kuchapishwa ktk lugha ya kigeni ya Kiingereza

Kama si kweli basi gazeti hili la Nation wasubiri kufungiwa kuuza magazeti nchi jirani kwa kusababisha kitu kinaitwa mtafaruku kwa mamilioni ya raia wa nchi jirani.

Ila kama habari hii ni sahihi gazeti hili litazidi kujijengea sifa na kuongeza idadi ya wasomaji wake kutokana na kuandika habari sahihi za kiuchunguzi na uthubutu wa kutumia uhuru wa kupashana habari bila woga, kubwa ni habari zilizo za ukweli na sahihi.

Karibu kuna kuchwa, habari hii itaendelea ku trend asubuhi yote, mchana kutwa na jioni kama habari kubwa ya siku

Tusubiri kanusho, kufungiwa ama taarifa kutolewa kwa umma nini kinaendelea. Ni risk kubwa jarida limechukua ila kama wameandika jambo la kweli, basi watakuwa wamejiweka katika nafasi nzuri za Juu kama chombo kikubwa media barani Afrika.


............................................................................



Gazeti la Nation.Africa lilizinduliwa kwa mbwembwe na linataka kujiweka sokoni kwa habari za uhakika na kujijengea heshima


Wacha kuwa mpuuzi nawe lifungiwe for what? kwani African leader ni JPM Pekee? Binafsi nadhani atakuwa Salvar Kiir! Maana kushakuwa na hints zikiimplicate several officials ato his statehouse falling sick!
 
This is nonsense! Yaani mgonjwa wa COVID-19 apelekwe Kenya kutibiwa? Kwa dawa gani waliyonayo hapo? Ulaya kwenyewe hapelekwi!
Huenda hata 'ventilator' hospitali zetu hazipo?

Au ni maswala ya ku'manage' complications zingine zinazoambatana na COVID-19; vitu kama 'cardiac arrest', cytokine syndrome, n.k.!

Umedadisi jambo la msingi sana.
 
Back
Top Bottom