African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Hujui chochote kuhusu TISS, unajipa umuhimu usiokuwa nao tu.Halafu hakuna nchi ya kipuuzi kama N.Korea.
Mbinu za N Korea hizi! Magu yuko zake sehem amepumzika! na kwa kiasi kikubwa TISS wamefaulu zoezi hili kwa ufasaha sana. Wameacha watu wahisi na kujiuliza maswali.

Hakika zile sehemu zilizokuwa zinatoa siri, naona sasa zimedhibitiwa! Heko TISS, Rais wangu endelea kupumzika.
 
(Sikusakami ila najua vyema uvumi huu umekukuna roho ) Tupo kwenye mahusiano mabovu ya kidiplomasia na Kenya.Usishangae wao ni ndo kinara wakuzusha haya wakisaidiwa na fugitives Ngurumo na kundi lake, Mr Nyani we are at war japo selection ya weapon ya Kenya ni weak..Subversive is no longer paramount On the highly globalised gen.
Kama tuko vitani, na adui katumia silaha ya uvumi/uongo kutushambulia basi amri jeshi mkuu wetu aibuke hadharani itakuwa silaha sahihi kabisa kwa hawa nyang'au na vibaraka wao wa twita. Mshitue mkuu atoe tu salamu kwetu tuliochagua na roho zetu zitatulia
 
I think that is quite clear.
Connect ...

The leader, who regularly addresses church congregants and public rallies when inspecting or launching government projects, was last seen in public on February 27.

Multiple sources, however, confirmed that the leader who has reportedly been ailing since late last month, flew to Kenya on Monday when his health deteriorated.

Tens of senior government officials and religious leaders in the country have died from suspected Covid-19 infections in recent weeks.
 
If the reports are true, May God protect and grant him speedy recovery. God bless Tanzania!
 
... and Lissu himself, two days ago, politely requested the TZ government officials to address the nation where is their president. He has not been on media nor public appearances for nearly two weeks now!!!. Lissu ni mbeba maono!!!
Na anavyopenda publicity kwenye media na kusifiwa hatari,leo tumeambiwa anatakiwa awape nyota wajeda so watu wanasubiri kama atatokea au tetesi ni za kweli
 
(Sikusakami ila najua vyema uvumi huu umekukuna roho ) Tupo kwenye mahusiano mabovu ya kidiplomasia na Kenya.Usishangae wao ni ndo kinara wakuzusha haya wakisaidiwa na fugitives Ngurumo na kundi lake, Mr Nyani we are at war japo selection ya weapon ya Kenya ni weak..Subversive is no longer paramount On the highly globalised gen.
Kwenye mitandao ya nyie mataga ndio mnajua hayo ila kwenye govnt machinery uhusiano uko kawaida na approachable

Kama uhusiano ni mbovu mbona hamumrudishi balozi Tzn na kumtimua wa Kenya?

Kuhara huku ndio maana mnaumbuka nyie mataga wa mitandaoni
 
Kama anapitia mitandao ya kijamii kwa muda huu... nadhani ndo atawajua vizuri watu anaowaongoza... kuna kundi kubwa sana la wanafiki wamemzunguka... na hakika hao ndo vinara wa uvujishaji wa habari...

Inasikitisha sana kuona waliokuwa wanakuita chaguo la Mungu wanakugeuka ghafla, huku wengine wakikuombea mabaya...
Ndio raha ya sie wa upande wa pili kuona maccm yakiparuana.

Kwa taarifa yako maccm yanamchukia Sana mtu wao kwa sababu ni mbabe,ana dharau na kutukana wenzio hadharani huku akijiona yeye ndio ana akili

Huwa nasemaga akibahatika kustaafu hakuna rangi ataacha kuona pindi akiwa nje ya madaraka maana sidhani kama Ana rafiki yule
 
Huenda hata 'ventilator' hospitali zetu hazipo?

Au ni maswala ya ku'manage' complications zingine zinazoambatana na COVID-19; vitu kama 'cardiac arrest', cytokine syndrome, n.k.!

Umedadisi jambo la msingi sana.

Hakuna taifa ambalo halina ventilators kwenye ICUs zake. Idadi yake kabla na baada ya mlipuko wa huu ugonjwa ndiyo inatofautiana.

COVID-19 ndiyo ugonjwa pekee ambao wanasiasa wa nchi zetu inabidi wafe na sisi hapa!
 
Back
Top Bottom