African leader taken ill, admitted to city hospital

Watanzania bana, sasa uswahili wote huu ni wa nini? Hakuna Presidential Press Unit ikulu? Maanake uvumi hatari kama huu unapoibuka nchini Kenya, wakenya huwa wanawalazimisha PPU wawajibike kwa kutoa taarifa rasmi. Vitu vingine sio vya kukuzwa au kupuuzwa kwa uzembe na usiri wa kiboya tena usiokuwa na tija.
 
Kwani Magufuli Mungu ? si nae ni binadamu anaumwa siku moja tu ? si alituaminisha yale masauna pale Muhimbili yanafanya kazi ?
Hakuna aliyesema kuwa magufuli hawezi kuugua; soma vizuri! Kila mtu anawaza kuuagua ila hilo la yeye kwenda kutibiwa kenya siyo kweli kwa sababu kadhaa ambazo ziko wazi kabisa.
 
JPM hawezi letwa Kenya, take that to the bank! He has self pride! BTW why do u think Watanzania tunahusudu huduma zenu? We don't look at u as u have better health services than us! hell no! Kama gazeti hilo limesema hivyo sishangai likiwa-banned Tanzania kwa kuzusha! so JPM amekuwa akiumwa toka last month? Wacha usenge!
 
Chura umesema kweli.

Nyani ndie kazidi ujuaji.
 
Media za Kenya zinamuogopa Magufuli maana Citizen TV ilipoleta habari yenye heading "ukaidi wa Magufuli" walilazimishwa kuomba msamaha kila siku kwa wiki nzima. Kwa hivyo usitegemee Nation media kumtaja Magufuli kwa jina maana Nation inaweza kuwa sued na gazeti lake la The East African kupigwa ban hapo Tanzania. Saa hii wamefanya vizuri kutomtaja jina ili wasilaumiwe baadaye na serikali ya Tanzania.
 
Halafu wanajiona wana best services! Yaani JPM aumwe aache kwenda China as i know hawezi kwenda Western nations halafu aende Kibera!

Hapo ndio penyewe. Kenya wanapenda kujipaisha kupitia sisi hasa kwenye mitandao, especially Twitter.

JPM hawezi enda kwa surrogate state ama kwa Mabeberu.

Tunahuduma na hospitals za nguvu sana kuliko Kenya.
 
FYI hawezi kuja huko hata siku moja amekuwa akitibiwa Tanzania na ataendelea kutibiwa Tanzania! msijishaue! Yaani aache Mkapa hospital, MOI, Mloganzila na JKCI aje Kenya! seriously? mbona mna over exxagerate ur importance? Nyie ni wajinga kiasi gani?

Very stupid hawa jamaa.
 
Hakuna aliyesema kuwa magufuli hawezi kuugua; soma vizuri! Kila mtu anawaza kuuagua ila hilo la yeye kwenda kutibiwa kenya siyo kweli kwa sababu kadhaa ambazo ziko wazi kabisa.

sasa unadhan kwanini wanazusha ivyo ? lisemwalo lipo, kwan magufuli yupo wapi ??
 
Kwakua imemshika yeye mwenyewe hainashida ,tujiandae kulipishwa kisasi
 
Hizi tetesi ningejarihu kuamini labda mngesema hospitali ya mkapa ndio kapelekwa ila kenya hahahaha
 
Hapa Kenya mbona mlikuwa kama pussies, kwani wasingeomba msamaha angeifanyaje hiyo Citizen Tv? Au rais wenu ni muoga kiasi hicho?
Hawezi kulinda vyombo vyenu vya habari Hadi mnadhalilishwa hivyo?
 
Siamini, ndivyo ilivyo.
Nope, Unaamini, sababu hujawahi toka nje ya mpaka wa Tz, kwaiyo chochote unachohisi unafahamu kuhusu N.Korea ni sababu ya Kuaminishwa hivyo na Kuamini.
 
Never: Kiongozi toka Tanzania hawezi kwenda kutibiwa Kenya hata siku moja.

Huu ni upuuzi mkubwa kabisa na kuyaka kujipatia umaarufu kirahisi.

Viongozi wote wa Tanzania wakuu wapo vizuri na wanaendelea na majukumu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…