African leader taken ill, admitted to city hospital


Onyango Obbo ndio mwandishi wa hii habari!

Hayo najina mengine sio.
 
As much as we all know he is in Nairobi, we also know that the TZ government will never admit it.
Once he gets a little better, he will be sneaked out at night, and then appear in a public event two days later.

The only way they can admit it if, God forbid, he were to die. Hapo hakuna cha kuficha.
 
Wa Kenya watatoa picha hivi karibuni kuna uhuru wa media Kenya na hizo habari zilisha zagaa subiria picha mda wowote
 

Magufuli may have pride, but he is not stupid.
The last president to have pride was Nkurunziza.
While his wife was flown to Nairobi for treatment, Nzurunziza opted not to. Now he is dead and buried.

Nairobi hospital has a world-class Covid facility built by the UN last year.
And even before that, it was still the best hospital South of Sahara, North of Limpopo.
 
Rubbish;

Corvid-19 has no treatment! What a lie!
 
Game over
Nope, Unaamini, sababu hujawahi toka nje ya mpaka wa Tz, kwaiyo chochote unachohisi unafahamu kuhusu N.Korea ni sababu ya Kuaminishwa hivyo na Kuamini.
 
Kutoka mioyoni siupendi wimbo wa 'Niagieni' hasa wakiimba ' Niagieni na watoto wangu'. MUNGU tuepushe na hili janga la Corona.
 
Hapa Kenya mbona mlikuwa kama pussies, kwani wasingeomba msamaha angeifanyaje hiyo Citizen Tv? Au rais wenu ni muoga kiasi hicho?
Hawezi kulinda vyombo vyenu vya habari Hadi mnadhalilishwa hivyo?
Citizen TV ina nia ya kuexpand hadi Tanzania. Hata NMG, wanaogopa kutaja jina kwa kuwa hawataki kufungiwa jinsi walivyoifungia The East African
 
Kutoka mioyoni siupendi wimbo wa 'Niagieni' hasa wakiimba ' Niagieni na watoto wangu'. MUNGU tuepushe na hili janga la Corona.
Kawimbo kanaleta sononi sana, hada ukute watoto wenyewe hata shule hawajafikia robo ya safari... Huwa kananikumbusha sana sakramenti ya kitubio.

Tumwombe Maulana atuepushe na kiburi cha kudharau ushauri wa kitaalam kwa kutumia vyeo vya kisiasa...
 
Duuh.. Ni hatari
 
Citizen TV ina nia ya kuexpand hadi Tanzania. Hata NMG, wanaogopa kutaja jina kwa kuwa hawataki kufungiwa jinsi walivyoifungia The East African
kama ingekuwa ime expand tayari inge make sense.. ila kwa sasa ambapo ipo nch nyingine halafu kuamriwa kuomba radhi kwa habari ambayo hata haina kosa ni kukiuka hata sovereignity yenu
Kwa case ya NMG kutomtaja wa ni sahihi kwa kuwa hakuna official source, ila unaweza kushangaa wakambiwa waombe radhi na wakaomba
 

Dah [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
I can assure you kama taarifa zingekuwa za kweli, sasa hivi Kenya ingekuwa inatoa jino na hata lile gego kwa kicheko!!!
 

Mwingine ako njiani .....we shall take good care of him✊✊✊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…