African leader taken ill, admitted to city hospital

Najua ukweli unauma lakini itabidi mzoeee.
Matibabu ya nje huonyesha umahiri wa wauguzi na state of the art facilities.
Mambo kama haya na mengine mengi ndio hufanya nchi kadhaa kupewa hadhi ya super power East and Central Africa
endelea kujitekenya.
 
Amref wamekuwa busy the past 2 wks carrying out medevac flights from Dar to Nairobi.
Hata saa hii bado wako busy.
 
Eti resuscitated? Dah inamaana kwamba alikuwa amezima kabisa? Yaani rais ambaye ni CinC wa jeshi pia, anapoteza ufahamu na roho yake inazima kabisa. Alafu wananchi anaowatala Tz hawana habari hata za kulazwa kwake hospitalini? Mbona hii hatari sana?
Ujue huu ulikuwa uongo wa kiwango cha PhD!!!
 
Wagonjwa nao wanamamlaka? Na wafu je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…