mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
endelea kujitekenya.Najua ukweli unauma lakini itabidi mzoeee.
Matibabu ya nje huonyesha umahiri wa wauguzi na state of the art facilities.
Mambo kama haya na mengine mengi ndio hufanya nchi kadhaa kupewa hadhi ya super power East and Central Africa