Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo.
Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani haitumiwi Afrika na ile Mikata ya kiulinzi na Marekani ivunjiliwe mbali na mikataba yote ya kibiashara isitishwe mara moja. Afrika izuie mitumba na bidhaa zinazoweza kupatikana kwingineko mbali na Marekani.
Afrika isimame imara dhidi ya Marekani ili ijitegemee!!
Duh!!UJANJA NA SHIDA HAVIKAI PAMOJA
Unamaanisha nini kaka ?UJANJA NA SHIDA HAVIKAI PAMOJA
View attachment 2587806
Ili uwe mjanja akikisha kwanza unajiweza kiuchumi kama haijiwez kiuchum kuwa mjinga... Ukiwa mjanja na hauna kitu utafukuzwa kazi au utakosa kazi kila siku.Unamaanisha nini kaka ?
Unamaanisha nini kaka ?Mawazo ya mpumbavu
Mawazo ya mtu mpumbavuUnamaanisha nini kaka ?
Weka hoja yako vizuri. Imepwaya hivyo haieleweki.Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo.
Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani haitumiwi Afrika na ile Mikataba ya kiulinzi na Marekani ivunjiliwe mbali na mikataba yote ya kibiashara isitishwe mara moja. Afrika izuie mitumba na bidhaa zinazoweza kupatikana kwingineko mbali na Marekani kuingia Afrika.
Afrika isimame imara dhidi ya Marekani ili ijitegemee!!
Hoja iko hapo ila umeamua kuiruka. Bila ya kuachana na Marekani Afrika haitaendelea ila ikishirikiana na BRICS na wengineo Afrika itasonga mbele kimaendeleo.Weka hoja yako vizuri. Imepwaya hivyo haieleweki.
Ni kweli Afrika inatakiwa ilipe madeni yake na iache kukopa. Kwa nini unasema madeni ya Marekani tu. Madeni ya nchi za BRICS yenyewe hayana madhara? Na kwa nini Africa isifanye biashara na Marekani ila ifanye na nchi za BRICS?
Teknolojia ya Marekani kwa nini istumike Afrika?