Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

Moja ya nchi za Brics ni South Africa ambayo ina shida kama tanzania Tu.


Sasa Tanzania itapeleka nini South Africa ambayo Kwa mwaka sasa Wana mgao WA umeme ambao tanzania haijawahi kuwa nao.
Hizi ndizo hoja fikirishi !!
 
Pia ni wao ndio waliouleta huo ugonjwa,usisahau hilo pia.
Ugonjwa tumeshaambiwa namna ya kujikinga ! Bado ukiupata unamlaumu mtu .
Tumekuwa kama bodaboda , hata akigonga mti ,atasema mti ulimchomekea
 
Hivi nani aliwaambia BRICS wanataka kujitenga na USA na EU kiuchumi na kibiashara?

Naona hili jambo watu wanalichukulia kiushabiki sana. Huo ni muungano tu hawana hata mpango wa kujitenga na mataifa mengine

Kila siku tunaona nchi wanachama wa BRICS kama China na India zinaingia mikataba ya kibiashara na mataifa ya Ulaya na Marekani. Halafu leo hii mtu aseme Afrika ijitenge na Marekani ifanye biashara na BRICS tu
Ni wewe yule yule au mwingine?

China, India wanazihitaji sana Marekani.

Wanachotaka China, India Russia, Iran ni kuwa biashara kati yao isishirikishe USD sababu kuna nchi hazina USD sababu ya vikwazo ie Russia, ila pamoja na hayo bado pesa zao zinabadilishwa kwa rate ya USD bila USD
 
Wachina hawana msaada wowote Africa , ni vile tu wa africa wenyewe tupo slow minded kung'amua mambo. Nigeria kuna taarifa ya wizi wa mabilion ya pesa za mafuta suspect mkuu ni china company.

China want this continent with its fertile land and rich minerals, but they dont it with us in it. Kule kwao wameshajaza na hakuna kitu chini.
Kwa aina ya viongozi tulionawo afrika wanawowaza kujilimbikizia Mali, China ndiyo atakaye kuja kuwa mkolon mpya wa africa!
 
Hayo ndio madhara ya mtu kukaa na njaa mchana kutwa eti huwezi kula na eti unafuata utamaduni wa mtu mwingine na kuacha utamaduni wako wa kiafrika matokeo yake ndio unakuwa na fikra za kipumbavu namna hii. Bure kabisa.

Very hopeless indeed.
 
Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo.

Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani haitumiwi Afrika na ile Mikataba ya kiulinzi na Marekani ivunjiliwe mbali na mikataba yote ya kibiashara isitishwe mara moja. Afrika izuie mitumba na bidhaa zinazoweza kupatikana kwingineko mbali na Marekani kuingia Afrika.

Afrika isimame imara dhidi ya Marekani ili ijitegemee!!
wewe ndo chanzo cha kupokea hizo ela , serikalo imafanya madudu na upo kimya
 
Back
Top Bottom