Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

Hoja iko hapo ila umeamua kuiruka. Bila ya kuachana na Marekani Afrika haitaendelea ila ikishirikiana na BRICS na wengineo Afrika itasonga mbele kimaendeleo.
Nimezoea kusoma mada zenye ujazo kutoka kwako. Naona hii imepwaya sana. Ndio maana nimekuita ujaze nyama ili tujue kwa upana angle ya hoja yako.
 
Nimezoea kusoma mada zenye ujazo kutoka kwako. Naona hii imepwaya sana. Ndio maana nimekuita ujaze nyama ili tujue kwa upana angle ya hoja yako.
Hii ni mada chokozi. Kuna watu wana chuki na Marekani kiasi kwamba wanatamani tuachane nao hata kesho tu. Sasa ndiyo nahimiza kuachana na Marekani ili tutimize ndoto za watu hao!!
 
Kwa nini Bwana Gadafi aliuawa!!??
Alikuwa anataka kuachana na mfumo wa pesa ya mmarekani alafu atumie sarafu yake ambayo angeiita dinari kwa kutumia reserve yake ya maana ya gold ya wakati ule, hii sababu ndio pia ilimuua hata Sadam hao wote walitamani mafuta yao wayauze kwa gold na sio pesa za karatasi bandia za mmarekani zinazoitwa fiat currency hazina thamani yoyote tofauti na imani yako wewe Bwana mlaji. Si wasifii ila warabu hua wana uwezo wa kuona mbali na kuthubutu.
 
Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo.

Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani haitumiwi Afrika na ile Mikataba ya kiulinzi na Marekani ivunjiliwe mbali na mikataba yote ya kibiashara isitishwe mara moja. Afrika izuie mitumba na bidhaa zinazoweza kupatikana kwingineko mbali na Marekani kuingia Afrika.

Afrika isimame imara dhidi ya Marekani ili ijitegemee!!
Uko tayari kuwekeza kwenye long term research au tumekalia porojo ni ngumu sana waafrika kujutegemea sababu wengi wa waafrika wana upeo mdogo hawana long term plan za miaka 20 au 50 ijayo ni ngumu kumuepuka mmarekani

Angalia report ya CIG watu wanatafuna hela na bado wako ofisini
 
Twende Saudia Arabia au Urusi au Iran?.
UNAUMWA UTI Sugu
 
Alikuwa anataka kuachana na mfumo wa pesa ya mmarekani alafu atumie sarafu yake ambayo angeiita dinari kwa kutumia reserve yake ya maana ya gold ya wakati ule.
Twende taratibu. Libya ilikukwa na kiasi gani cha akiba ya dhahabu!!??
hii sababu ndio pia ilimuua hata Sadam hao wote walitamani mafuta yao wayauze kwa gold na sio pesa za karatasi bandia za mmarekani zinazoitwa fiat currency hazina thamani yoyote tofauti na imani yako wewe Bwana mlaji.
Matumizi ya hizo "Fiat Currencies" yapo kwa dollar ya Marekani tu??
Si wasifii ila warabu hua wana uwezo wa kuona mbali.
Ni kweli kwamba Waarabu wanao uwezo wa kuona mbali. Kuona mbali kwenye mambo gani??
 
Uko tayari kuwekeza kwenye long term research au tumekalia porojo ni ngumu sana waafrika kujutegemea sababu wengi wa waafrika wana upeo mdogo hawana long term plan za miaka 20 au 50 ijayo ni ngumu kumuepuka mmarekani

Angalia report ya CIG watu wanatafuna hela na bado wako ofisini
Inasadikika tatizo letu Afrika hatujiamini kuachana na Marekani. Lakini inasemwa ili tuendelee si lazima tushirikiane na Marekani.
 
HAIWEZEKANI. Kumbuka wakati mababu wa kimarekani wanagundua ndege ya kwanza mwaka 1905 sisi mababu zetu walikuwa wakiaminishana wakijimwagia maji usoni yenye mitishamba wanaweza kumpiga mjerumani wakiwa na silaha za jadi. Hata hao BRICS walikuwa bado wako nyuma mno kimaendeleo kwa huo mwaka 1905. Kuwakataa wamarekani HAIWEZEKANI
 
Hata kama mtoa mada ameenda beyond lkn kuishi kwa kutegemea sio akili.
Afterall mikopo hii tunafaidika kidogo mno. Tuishi kulingana na uwezo wetu.
Kuna haja gani ya kununua V8 wakati RAV4 zipo kwa ajili ya mawaziri? Zinatumika miaka 2 wanajiuzia kwa bei ya scrapper ?
Kuna haja gani ya kutanua wizara wakati ziko local goverment zinatosha kuzimamia serkali ngazi za wilaya?.
Tumekuwa wajinga kumpita yule chifu wa msowelo tukiwa ma Phd holder
 
Umeongea point kwa hali ilivyo ni ngumu sana afrika kuendelea
 
Back
Top Bottom