Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

Moja ya nchi za Brics ni South Africa ambayo ina shida kama tanzania Tu.


Sasa Tanzania itapeleka nini South Africa ambayo Kwa mwaka sasa Wana mgao WA umeme ambao tanzania haijawahi kuwa nao.
Hizi ndizo hoja fikirishi !!
 
Pia ni wao ndio waliouleta huo ugonjwa,usisahau hilo pia.
Ugonjwa tumeshaambiwa namna ya kujikinga ! Bado ukiupata unamlaumu mtu .
Tumekuwa kama bodaboda , hata akigonga mti ,atasema mti ulimchomekea
 
Ni wewe yule yule au mwingine?

China, India wanazihitaji sana Marekani.

Wanachotaka China, India Russia, Iran ni kuwa biashara kati yao isishirikishe USD sababu kuna nchi hazina USD sababu ya vikwazo ie Russia, ila pamoja na hayo bado pesa zao zinabadilishwa kwa rate ya USD bila USD
 
Kwa aina ya viongozi tulionawo afrika wanawowaza kujilimbikizia Mali, China ndiyo atakaye kuja kuwa mkolon mpya wa africa!
 
Hayo ndio madhara ya mtu kukaa na njaa mchana kutwa eti huwezi kula na eti unafuata utamaduni wa mtu mwingine na kuacha utamaduni wako wa kiafrika matokeo yake ndio unakuwa na fikra za kipumbavu namna hii. Bure kabisa.

Very hopeless indeed.
 
wewe ndo chanzo cha kupokea hizo ela , serikalo imafanya madudu na upo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…