Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa na shida ya lugha.mkuu naona hata dunia nzima ikipingana na huo waraka utabaki wewe na papa mkiutetea, kwa hyo viongoz wa kanisa katoliki hzo nchi zote wanaoupinga waraka wa baba mtakatifu akili zao ni batili kama watz?
Umeeleweka mkuu,hongera sana.HAWAJAKURUPUKA !! Nchi hizi wanaongea na kukielewa kiingereza kilichotumika kwenye chapisho la waraka kuliko wewe mtanzania unaetetea kwamba waraka haujaeleweka vizuri ilhali kiingereza kinakupa tabu.
Watu weusi mlioletewa dini kwa mikakati ya watu weupe mnajiona mna dini kuliko wenye mikakati yao?Sote tuungane na kupaza sauti WARAKA WA PAPA FRANCIS NI BATILI !!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila wanangu wa nanjilinji na nachingwea huwa mnanishangaza,
hivi hamshtuki wazee,
anyway ngoja niwaache na imani zenu
Hamna namna papa ni mfuasi wa shetani anatakiwa ajiuzuluHuu waraka umenifanya nilifahamu vizuri Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume. Angeandika sheikh maulid au Nabii nani ungeona mkurupuko wake. Huu waraka umeandikwa kwa akili kubwa unataka pia msomaji atulize fuvu la sivyo ...atakurupuka na conclusion za kipuuzi kama wale waliosema kula nguruwe kosa!
ntakutafuta bae tuyajenge, najua unaga baya na mtu,We utakuwa na shida ya lugha.
Wameupinga waraka wa papa au wameufafanua?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ntakutafuta bae tuyajenge, najua unaga baya na mtu,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣