Afrika inalaani na kukemea: Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini Nigeria nao wameungana na Malawi, Kenya, Zambia kuhoji waraka wa Papa Francis

Afrika inalaani na kukemea: Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini Nigeria nao wameungana na Malawi, Kenya, Zambia kuhoji waraka wa Papa Francis

Taabu yote ya nini? Wale wote ambao hawakubaliani na waraka wa papa wajiondoe katoliki waanzishe kanisa lao lisilotambua ndoa za jinsia moja. Sidhani kama papa atarudi nyuma kufuta waraka wake. Papa kaharibu kanisa katoliki
 
Huu waraka umenifanya nilifahamu vizuri Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume. Angeandika sheikh maulid au Nabii nani ungeona mkurupuko wake. Huu waraka umeandikwa kwa akili kubwa unataka pia msomaji atulize fuvu la sivyo ...atakurupuka na conclusion za kipuuzi kama wale waliosema kula nguruwe kosa!
 
Huyu mzee fala sana. Na tokea kupewa kwake nafasi hakuwa na msisimko kama yule aliyetangulia maana tayari shetani alikuwa amemvaa. Huyu mzee atoke haraka hafai hiyo nafasi.
 
mkuu naona hata dunia nzima ikipingana na huo waraka utabaki wewe na papa mkiutetea, kwa hyo viongoz wa kanisa katoliki hzo nchi zote wanaoupinga waraka wa baba mtakatifu akili zao ni batili kama watz?
We utakuwa na shida ya lugha.

Wameupinga waraka wa papa au wameufafanua?
 
HAWAJAKURUPUKA !! Nchi hizi wanaongea na kukielewa kiingereza kilichotumika kwenye chapisho la waraka kuliko wewe mtanzania unaetetea kwamba waraka haujaeleweka vizuri ilhali kiingereza kinakupa tabu.
Umeeleweka mkuu,hongera sana.

Hiki ni kipimo cha maendeleo ya elimu tulizonazo.
 
ila wanangu wa nanjilinji na nachingwea huwa mnanishangaza,
hivi hamshtuki wazee,
anyway ngoja niwaache na imani zenu
 
Yani mtu hata hataki kusoma kilichoandikwa anakimbilia kuweka maoni hasi dhidi ya Papa
 
TUMEKWISHA KUWAONYA JUU YA HILO KANISA HAMUELEWI.

BIBLIA ILITABIRI LITAKUJA KANISA KUBWA MNO LAKINI NI KANISA KAHABA
 
Huu waraka umenifanya nilifahamu vizuri Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume. Angeandika sheikh maulid au Nabii nani ungeona mkurupuko wake. Huu waraka umeandikwa kwa akili kubwa unataka pia msomaji atulize fuvu la sivyo ...atakurupuka na conclusion za kipuuzi kama wale waliosema kula nguruwe kosa!
Hamna namna papa ni mfuasi wa shetani anatakiwa ajiuzulu

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Burdani ni kua wengi wetu hatujausoma waraka wenyewe ie translated version.. Tuna comment kwa kutumia hints za online media.

Nimemsikiliza Mkuu Thadei Ruwa'ichi ingawa ameongea kimitego sana dizaini yuko makini asikanyage waya.

Kazi kwetu.
 
Back
Top Bottom