Afrika Kusini: Imam Muhsin Hendricks Aanzisha Msikiti kwa ajili ya LGBT Muslims Duniani

Walaumu Waislam wenzako. Hasira usiziweke kwetu wagalatia

"A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't' | World Economic Forum" A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't'
Mimi ujumbe nimefikisha bila kujali nani ,na uovu ni uovu hata akifanya mkiristo haipaswi mimi kushabikia mbona habari za ushoga hata kuhusu watu wa imani ya kikirsto mbona zipo kibao tu ila sioni umuhimu wa kuzitumia kwa nia za akikejeli,kukashifu au kuchonganisha mfano wa habari hiyo soma hapo chini
Nyingine hiyo ila napuuza kuona hakuna umuhimu wa kufanya hivyo kwani kuna muda lazima mtu ukue

#Nimemaliza
 
"Anagaliaa sana kufwatilia na kusambaza habari za namna hii sidhani kama utasalimika. Sithani kama utapokonyoka"

Kwahiyo mkuu kwakuwa hili suala linahusu dini yenu pendwa lisiongelewe?,
 
Wewe kama ukemei tabia hiyo shauri Yako, sisi lazima tuinusuru jamii na hayo madhira

Hizi nchi za Kiislamu usitembelee kabisa, zimeruhusu hayo mambo kisheria[emoji116]

Albania
Azerbaijan
Bahrain
Bosnia and Herzegovina
Burkina Faso
Djibouti
Guinea-Bissau
Iraq
Jordan
Kazakhstan
Kosovo
Kyrgyzstan
Lebanon
Mali
Niger
Tajikistan
Turkey
Indonesia
Palestine
Northern Cyprus.

Hizi nyingine nchi za Kiislamu zilizoruhusu kwa wanawake tu yaani Homosexual relations between females are legal in
Kuwait
Turkmenistan,
Gaza Strip (State of Palestine)
Uzbekistan
 
Kama una Tabia za kunyoa ndevu acha kabisa mkuu,hawa wavaa kobazi hawachelewi kusema unapumuliwa[emoji23]
 
Siku hizi za mwisho tutashuhudia mauzauza mengi sana...
 
Hakuna nchi ya kiislamu hata moja hapo sema nchi zenye waislamu wengi.

Wewe hukemei bali uko kwa ajili ya kuuponda upande mmoja nimejua hayo kutokana na nyuzi zako na comments kwenye mada zozote zinazohusu uislamu huu uzi ingekuwa kaleta mtu mwingine ningesema anakemea ..

Kama unakeme kweli mbona hajawahi hata siku moja kuleta uzi unaohusiana na ushoga au vitendo viovu kwa upande wa viongozi au dini ya kikirsto kwani hakuna ?
 
Kwani dini gani inayounga mkono ushoga kwa maana ya kwamba msaafu wake una maandiko yanayounga mkono mambo hayo.
 
Mimi nacho pinga ni unafiki tukubali tukatae haya mambo yalikuwa yanafanyika sana katika jamii za mashariki ya kati hadi maandiko yao yakaandika kupinga huo uchafu.

Ila kuna watu wakiona wanaanza ku react as if ni suala geni ama la kustaajibisha sana wakati mamia ya miaka jamii za walioleta hizi dini zilikua na watu wanaofanya huo upuuzi.

Acheni unafiki..tukemee sio sio kujiona kuwa ni watakatifu na kuwa miongoni mwa jamii zenu hili suala halipo..tusijidanganywe tukemee na kuping a huu ushetani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huu ni ujinga tuupinge bila kuangalia dini zetu.
Shida inakuja pale habari hizi zikiwa upande wa dini moja. Dini nyingine inawakejeli hata wakijitetea.
Halafu unakuta dinu hizi zote hazisapoti huu ushenzi ila ni watu. Tatizo linakuja pale wafia dini fulani wanapokataa kuwa ktk dini yao hakuna hilo tatizo kwa kutoa sababu mbalimbali.
Hii ipo ktk mada za vita, biashara ya utumwa, mauaji, ukatili, uongozi mbaya na chchote kibaya. Watu hawa huamini ktk dini yao hakuna baya, ila limefanywa na watu wa dini nyingine waliojifanya dini yao. Hii inapelekea mashindano ya kuuoneshana uovu uliopo ktk dini pinzani.
 
Wewe niletee, nilete tu maana zinazohusu wagalatia sijapata bado.
 
Wewe niletee, nilete tu maana zinazohusu wagalatia sijapata bado.
Inasikitisha sana kwa kile mnachohangaikia kupiga vita na kukichukia bado hakiyumbi kinasonga mbele

Mfano leo hii kuna uzi wa mwalimu uchwara wa madrassa KULAWITI ni wa mda sana mmetukana kwenye ule uzi hamkuridhia leo tena mwenzako kaufufua kwa kucomment dot na mwengine "duh" ilimradi uzi uwe hewani na muendeleze maneno yenu machafu.

Unataka mada ? zipo kibao ila na naweza kufufua nyuzi kama wenzako ila naona upuuzi na nyuzi zangu haziwezi kumfanya mkiristo awe Muislamu .Mfano wa mada hiyo chini mwalimu wa mafundisho KULAWITI lakini mimi mimi sina time nazo na zipo kibao tu.
 

Wengi wenu mnamshukuru sana huyo imam kimya kimya maana ndio zenu, mikoa ya pwani huongoza sana kwenye hayo mavitu ya kishoga na huko pwani ndiko mliko wengi maana ndio eneo alianzisha mwarabu na dini yake.
 
Huyu ni mchumia tumbo.

Aidha hana uislam wowote ila kapewa fedha apromote huo ujinga ama huenda ALIKUWA muislam kweli ila kaamua kuisaliti imani yake kwa ajili ya DUNIA 💷 💵

Lawama.zangu nazipeleka kwa imma wa waislamu wote duniani. Waislamu wamekuwa wakifurahia sana pindi wasikiapo celebrity fulani amesilimu, au kusikia wazungu wanaingia ktk uislamu kwa wingi bila kujua kwamba unaweza kuwa mpango wa wamagharibi kuu destroy uislamu from within
 
Ukoo sahihi, Nishaliongea saana, lakini sauti yangu ndogo.

Pia kuna masupastaa wanajidhihirisha ni waislam ila matendo yao ma Uislamu haviendani bado kazi kumpamba, uhalisia uislam tunaanza kuufubaza wenyewe waislam kwa kutotambua hila za maadui wa uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…