adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Mimi ujumbe nimefikisha bila kujali nani ,na uovu ni uovu hata akifanya mkiristo haipaswi mimi kushabikia mbona habari za ushoga hata kuhusu watu wa imani ya kikirsto mbona zipo kibao tu ila sioni umuhimu wa kuzitumia kwa nia za akikejeli,kukashifu au kuchonganisha mfano wa habari hiyo soma hapo chiniWalaumu Waislam wenzako. Hasira usiziweke kwetu wagalatia
"A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't' | World Economic Forum" A gay imam's story: 'The dialogue is open in Islam – 10 years ago it wasn't'
Nyingine hiyo ila napuuza kuona hakuna umuhimu wa kufanya hivyo kwani kuna muda lazima mtu ukue
#Nimemaliza