Huna akili jamaa umemsikia Malema au Ramaphosa?Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu ruksa...
Yamkamate mtu ambaye sio member wa ICC? Teh tehMataifa yaliyotia saini yanapaswa kumkamata....
Hahahahah Putin ataitembelea hio mahakama mwezi ujao 🤣🤣🤣Mahakama ya kimataifa ya ICC haitambui hizo titles zote wao wanamtambua kwa title moja tu wanamtambua kama mtu binafsi mhalifu wa kivita hayo ya raisi ni ya kwako
Wangekua serious wangemkamata Bush kwanza.Mahakama ya kimataifa ya ICC haitambui hizo titles zote wao wanamtambua kwa title moja tu wanamtambua kama mtu binafsi mhalifu wa kivita hayo ya raisi ni ya kwako
Kutembelea au kujipeleka mwenyewe?Hahahahah Putin ataitembelea hio mahakama mwezi ujao 🤣🤣🤣
Jamaa kumbe huna akili kiasi hiki? Ushawahi kuona raia anapelekwa ICC bila kumhusisha na ukuu wa nchiMahakama ya kimataifa ya ICC haitambui hizo titles zote wao wanamtambua kwa title moja tu wanamtambua kama mtu binafsi mhalifu wa kivita hayo ya raisi ni ya kwako
Ataitembelea ili hao wehu wajaribu japo kumshika shati tu kisha Medvedev afanye jambo 😀Kutembelea au kujipeleka mwenyewe?
Wapo kibao wako kibaoJamaa kumbe huna akili kiasi hiki? Ushawahi kuona raia anapelekwa ICC bila kumhusisha na ukuu wa nchi
Wote Kutoka Africa! Vipi kuhusu bush Jr & Tony Blair? Kesi zao zinaendelea huko ICC?Wapo kibao wako kibao
Yuko Joseph Kony ,yuko Bemba wa kongo,yuko kiongozi wa waasi wa M23 hadi leo kesi inaendelea ICC ,wako wahusika wa mauaji ya kimbari ya Rwanda
Wengi mno ambao wala sio maraisi kesi ziko ICC
Huyu ni mmoja ya washindi wa JF 2022 na amezawadiwa (pengine vizuri tu). Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wamiliki gani hawawezi kumfuata mtu mmoja pamoja kujiunga kwao 31 Nations dhidi ya Taifa mmoja infact mtu mmoja. Wanaishia kutikisa mikia yao katikati ya miguu.Wamiliki wa dunia walishatoa agizo huyo akamatwe, hao akina Malema sijui Zulu au mfalme Mswati hawana lolote.
Hili naona mmelikazania sana, hebu nipe tofauti ya Putin na Russia, tunaposema urusi si mwanachama tunaamanisha watu wake ikiwemo na Putin au wewe ulijua majengo? Tunaposema south Africa imkamate Putin ni watu sio majengo, hoja yako haina mashiko.ICC huwa inashtaki mtu binafsi sio nchi
Haijalishì nchi ni mwanachama au la wao Humshitaki awe raia wa nchi mwanachama au la
Putin anashtakiwa yeye kama yeye kwa uhalifu wake sio nchi ya Urusi
🤣🤣🤣 tena kukagua utendaji wao wa kaziHahahahah Putin ataitembelea hio mahakama mwezi ujao 🤣🤣🤣
Soma kazi za ICCHili naona mmelikazania sana,, hebu nipe tofauti ya Putin na Russia,, tunaposema urusi si mwanachama tunaamanisha watu wake ikiwemo na Putin,,, au wewe ulijua majengo...