EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
So hao wote either wawe wakuu wa nchi au waasi, niambie kuna kiongozi gani wa kizunguWapo kibao wako kibao
Yuko Joseph Kony ,yuko Bemba wa kongo,yuko kiongozi wa waasi wa M23 hadi leo kesi inaendelea ICC ,wako wahusika wa mauaji ya kimbari ya Rwanda
Wengi mno ambao wala sio maraisi kesi ziko ICC
Kumbe kizibo hivyo nani wakumkamata MWAMBA?Wamiliki wa dunia walishatoa agizo huyo akamatwe, hao akina Malema sijui Zulu au mfalme Mswati hawana lolote.
PUTINSo hao wote either wawe wakuu wa nchi au waasi, niambie kuna kiongozi gani wa kizungu
Kupewa ICC?
Africa ya Kusini ilishawahi kukataa kumkamata Al Bashir wa Sudan who is relatively weaker than Putin na ICC haikufanya kitu.Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee...
NEVER 🤣🤣🤣PUTIN
Thread closedICC? Urusi sio member wa ICC...
Hilo lijamaa mwaka jana lilikuwa linafungua thread kumi kwa siku. Sasahivi Russia imemkata ngebe anafungua thread tatu kwa mwezi🤣🤣🤣🤣🤣Huyu ni mmoja ya washindi wa JF 2022 na amezawadiwa (pengine vizuri tu). Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuwa na akili, haiwezekani kufanyika hivyo bila kupata kibali na nchi usika(SA)Uingereza ujerumani na marekani&canada watume inter police na vikosi vingine maalumu kumkamata mbona rahisi tu? Wasimuangushie mzigo SA
Wewe ndio huelewi hata ulichoandika. Nafikili sinema za kimarekani zimekudanganya sana maana kwenye sinema marekani huwa ashindwagi na lolote. Lakini tunapokuja kwenye uhasilia ni choko tuInahitaji akili iliyopevuka kuelewa nilicho andika hapo.
Extrovert mfafanulie huyu bwa. Mdogo
Ngoja nikufafanulie Bw. Mdogo. Nacho seme hapo ni almost impossible kumkamata putin ataingia SA NA kutoka na asiguswe hata ukucha wake. Nani aruhusu putin akamatwe kwenye ardhi yake? Scotland? Canada? Germany? Italy? SouthAfrica?Wewe ndio huelewi hata ulichoandika. Nafikili sinema za kimarekani zimekudanganya sana maana kwenye sinema marekani huwa ashindwagi na lolote. Lakini tunapokuja kwenye uhasilia ni choko tu
Labda kuna mahali hatuelewani, hebu fafanua hilo mandiko lakoUingereza ujerumani na marekani&canada watume inter police na vikosi vingine maalumu kumkamata mbona rahisi tu? Wasimuangushie mzigo SA
Tufanye nimekuelewa naomba tuishie hapo.Labda kuna mahali hatuelewani, hebu fafanua hilo mandiko lako
Kwan putin muislam?Nilisema povu ruksa....takbirr
Ajaribu bas kutia maguu ulayaICC? Urusi sio member wa ICC...
Umesahau Rais Albashir wa Sudan alikwenda Afrika ya Kusini kwenye mkutano baada ya ICC kutangaza akamatwe. Afrika Kusini hawakutekeleza hilo; Albashir akarudi nchini kwake. Sembuse Putin?Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee...
ICC? Urusi sio member wa ICC...