Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC


NATO ikitia guu pale Ukraine huyo Putin wenu atafutwa, amejambishwa na kainchi kajirani hapo tayari.
 
So hao wote either wawe wakuu wa nchi au waasi, niambie kuna kiongozi gani wa kizungu

Kumbe kizibo hivyo nani wakumkamata MWAMBA?

Huyo kwa sasa hivi hata Urusi ndani anaishi kwa tabu, kusalimiwa na katoto inabidi usalama wa watie mkono...

 
Africa ya Kusini ilishawahi kukataa kumkamata Al Bashir wa Sudan who is relatively weaker than Putin na ICC haikufanya kitu. Sasa sijui hao wanapata wapi mawazo ya kudhani kwamba SA itamkamata Putin? Wasahau. Wapambane kwanza na hali zao.

Al Bashir ni nzi mbaye dunia haiku na shida naye sana, ila huyu wenu tunalala naye mbele...
 
ICC huwa inashtaki mtu binafsi sio nchi

Haijalishì nchi ni mwanachama au la wao Humshitaki awe raia wa nchi mwanachama au la

Putin anashtakiwa yeye kama yeye kwa uhalifu wake sio nchi ya Urusi
Hata Ruto na Uhuru hawakukamatwa bali waliitikia wito.
Watu wanatarajia labda kutakua na kamatakamata kama inavyofanyika bongo.
Kilichofanyika ni kusogeza kete muhimu katika mchezo wa draft.

Putin mwenyewe anajua maana yake, mashabiki ndiyo wapo hoya hoya kwenye bodaboda zao, huku wakiwa spidi zote, vinywele wamevivuruga, wamekalia tako moja na visendo vinaning'inia huku sauti ya singeli ikiwa zimefunguliwa hadi mwisho
 
Hizo nchi ulizozitaja ndo zimetoa warrant?
Kwani ICJ uliona inatuma vikosi vyake kukamata watu? Always hao niliowataja ndio viherehere na vibaraka wao hutumika kukamata
 
Soma kazi za ICC

Who can be prosecuted before the ICC?

The ICC prosecutes individuals, not groups or States. Any individual who is alleged to have committed crimes within the jurisdiction of the ICC may be brought before the ICC...
Ni individual kwa akili zenye double kick 40% ila kwa akili ambazo ziko sawa Putin ni taasisi. Mguseni mnuke.
 
Hahahahah hawa watu wakipelekwa ICC basi ntaomba mara moja Putin afike kujibu tuhuma. Ila bila hao marais watatu wa Marekani kukanyaga kwenye korti ya ICC basi wasahau kuhusu kumshika Putin.
 
Putin na Russia yake ni nguvu kuu Duniani, America wala haimuwezi na ndiyo maana inafanya ushawishi kwa nchi zingine kumuunga mkono, lakini nchi hizi zote zikikaa...
Lazma angeleta kiherehere cha kutuma vikosi kazi vya kusambaratisha utawala huo. Sababu intelijensia ya kupambana na USA hawana ila hawezi leta utoto kwa KGB 🤣🤣🤣
 
Ndio sheria za ICC, asikatize ndani ya taifa lenye mkataba na ICC, kwa kifupi wewe ua watu popote ulipo ila usitie guu kwenye mataifa ya ICC.
Hahahah anaingia na hakuna kitu kama hicho kitamtokea.
 
Hahahahah hawa watu wakipelekwa ICC basi ntaomba mara moja Putin afike kujibu tuhuma. Ila bila hao marais watatu wa Marekani kukanyaga kwenye korti ya ICC basi wasahau kuhusu kumshika Putin.
UMEMALIZA

Hao jamaa wamemwaga sana damu zisizo na hatia lakini cha kushangaza Obama na Bush walishinda Nobel Peace Prize 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…