Afrika Kusini kimenuka maandamano ya kupinga waafrika wengine nchini humo

Afrika Kusini kimenuka maandamano ya kupinga waafrika wengine nchini humo

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote!

Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua!

Hata kama ni wahamiaji haramu, zipo taratibu za kushughulika na wahamiaji haramu duniani kote, siyo hii ya kuwindana kama unawinda suala!

Hata kama ni wahamiaji haramu ina maana huko hakuna wazungu, waarabu, wahindi, wachina nk ambao ni wahamiaji haramu?


View: https://www.threads.com/@rokkydon_1/post/DaNgYptD8Ib?xmt=AQG0khx0NfHh4Woekp0O2xaTnS8rFYjTSyQR6VG8ZSUx1btG2NqokVO1J8G_TFDIlSsLrKfk&slof=1
 
Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote!
Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua! Hata kama ni wahamiaji haramu, zipo taratibu za kushughulika na wahamiaji haramu duniani kote, siyo hii ya kuwindana kama unawinda swala!
Hata kama ni wahamiaji haramu ina maana huko hakuna wazungu, waarabu, wahindi, wachina nk ambao ni wahamiaji haramu?


View: https://www.threads.com/@rokkydon_1/post/DaNgYptD8Ib?xmt=AQG0khx0NfHh4Woekp0O2xaTnS8rFYjTSyQR6VG8ZSUx1btG2NqokVO1J8G_TFDIlSsLrKfk&slof=1

Baada ya kuandamana dhidi ya weupe sasa wanaandamana dhidi ya weusi wenzao,
 
Hivi F.W. Klark na Botha hawana wajukuu? Kama hawa waafrika kusini wanaanza kunyanyasa waafrika wenzao wageni basi ukaburu urudi uwakomeshe, na hakuna wa kuwaonea huruma tena wabaguzi hao, kumbe hawa weusi ndio walikuwa wabaguzi kuliko makaburu
 
Dah hali sio hali kwa sisi tuliopo huku bondenii
1000444387.jpg
 
Back
Top Bottom