Afrika Kusini kimenuka maandamano ya kupinga waafrika wengine nchini humo

Afrika Kusini kimenuka maandamano ya kupinga waafrika wengine nchini humo

US nilikutana na demu mmoja wa South, Ana support huu ujinga, nikamuuliza yeye mbona anaishi nchi nyingine, akasema Ana work permit,nikasema mbona mna target weusi tuu na hamfuati sheria, akasema wanachukua kazi zetu, nikamwambia hata yeye anachukua kazi za waamerica, akaja juu sana ilibidi nicheke tuu
 
Umeni angusha mkuu unge mla
 
Wamesahau kuwa waafrika wengine ndio waliowaunga mkono katika mapambano yao dhidi ya ubaguzi wa rangi! Leo waafrika toka nchi zingine ndio wanaowindwa na kufurumishwa bila heshima yoyote!

Kwa maneno wanadai wanapinga wagamiaji haramu, kakini kwa vitendo wanavamia waafrika wowote na kuwatimua!

Hata kama ni wahamiaji haramu, zipo taratibu za kushughulika na wahamiaji haramu duniani kote, siyo hii ya kuwindana kama unawinda suala!

Hata kama ni wahamiaji haramu ina maana huko hakuna wazungu, waarabu, wahindi, wachina nk ambao ni wahamiaji haramu?

View: https://www.threads.com/@rokkydon_1/post/DaNgYptD8Ib?xmt=AQG0khx0NfHh4Woekp0O2xaTnS8rFYjTSyQR6VG8ZSUx1btG2NqokVO1J8G_TFDIlSsLrKfk&slof=1

Aisee hawa jamaa wana haki

Dah nilikaaga huko moezi 4 tu yaan wachina wahabesh wasingapore nk kama wote

NASHAURI WASIFUKUZE WALE MALAYA KULE CLUB MALAYA WOTE FOREIGNERS WAANDOKISHWE WAPEWE KINGA JAMANI

WAMETUNZA SANA WATU WALE

CC

CEACER CLB
 
Watanzania wengi waliopo bondeni mateja..!!
Hivi Trump naye aliishia wapi na kurudisha foreigners haramu makwao?
 
US nilikutana na demu mmoja wa South, Ana support huu ujinga, nikamuuliza yeye mbona anaishi nchi nyingine, akasema Ana work permit,nikasema mbona mna target weusi tuu na hamfuati sheria, akasema wanachukua kazi zetu, nikamwambia hata yeye anachukua kazi za waamerica, akaja juu sana ilibidi nicheke tuu
Shida wengi hawaja soma msouth africa ukiweka dora mia na randi mia ya kwao kwa akili zao wanachagua randi mia shida kutokusoma
 
Back
Top Bottom