Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

Afrika kusini ni mijitu ya hovyo, mibaguzi, ina roho mbaya mnoo, ajichunge wasije wakamoiga na shaba tu.
 
Hawa Waafrika Kusini weusi kiukweli walistahili na wanatakiwa kuwa chini ya Utawala wa Makaburu!
 
Kuna taarifa imetoka kuhusu huyo dada. Inaonekana mama yake alifeki identity yake
 
Ni kweli wanapita. Lakini mtu anavyoingia nchini mwako kiharamu utasemaje anapita tu?
Mkuu Afrika tunawekeana mazingira magumu ya Waafrika kusafiri kwa sababu za kina Carl Peter's wakati wao wanatumia driving licence kutoka Nchi moja na kwe da nyingine nimefurahi kuona Botswana,Zambia na Namibi wamefuta matumizi ya Passport kwa raia wao wakitaka kwenda kwenye hizo Nchi vitu navyoongea hapa ni vikubwa inatakiwa uwe mbele ya muda sio nyuma ya muda..
 
Leo huyo mrembo maarufu ktk insta kwa jina la chichi-vanesa kajitoa ktk kinyang'anyiro akihofia usalama wa familia yake
 
Mimi siwalaumu sana wadizonga WOTE TUMEONA MOVIE YA SARAPHINA MANDELA KAKAA JELA MIAKA MINGI SANA WANAHAKI KUCHUKIA WATU AMABAO SIO WADIZONGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…