makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Afrika kusini ni mijitu ya hovyo, mibaguzi, ina roho mbaya mnoo, ajichunge wasije wakamoiga na shaba tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha makamu president?Mmh uku kwetu Wasomali na waburundi wanapewa uwaziri
Sura ya kiafrica magharibi hii.. mrembo wa kulipwa
same personSame person? Moja ya kwanza a bit darker complexion. Is the same person?
Both pictures exact very beautiful black ladies 😍
Hawa Waafrika Kusini weusi kiukweli walistahili na wanatakiwa kuwa chini ya Utawala wa Makaburu!Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni
Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na alizaliwa Soweto na kukulia CapeTown Waziri wa Utamaduni wa nchi hiyo Gayton McKenzie, alisema
“Hatuwezi kabisa kuwa na Wanigeria kushiriki katika shindano letu la Miss SA. Nataka kupata ukweli wote kabla ya kutoa maoni lakini tayari inanipa hisia za ajabu,”
Hata hivyo bado Mrembo huyo hajaenguliwa katika Shindano, hali inayoleta hisia zaidi kuhusu iwapo anaweza kuibuka Mshindi kwenye Fainali za Jumamosi ya Agosti 10, 2024
..............
Beauty contest sparks row over who counts as South African
South African Chidimma Adetshina has faced online abuse with people questioning her nationality
When law student Chidimma Adetshina clinched a coveted spot as a Miss South Africa finalist, her triumph unleashed a vicious backlash, unearthing a seam of xenophobia that lies close to the surface for some in the country.
The 23-year-old’s name hints at her connection to Nigeria, but internet detectives wanted to know more and combed through every inch of her life. They found that her father is Nigerian and though her mother is South African, her family had come from neighbouring Mozambique.
"On behalf of South Africans, we don’t recognise her and that name! She better start packing and go home,” raged one commenter on X.
But where is home? Ms Adetshina is South African, as verified by the organisers of the pageant. She has said in interviews that she was born in Soweto - the township next to Johannesburg - and grew up in Cape Town.
However, the “go-home” sentiment, and even harsher attacks, flooded social media. There was also a petition demanding her removal from the high-profile televised competition that amassed more than 14,000 signatures before it was taken down.
The country’s Culture Minister Gayton McKenzie, the leader of the Patriotic Alliance party, which has joined a coalition government and made migration issues a key part of its platform, chimed in.
“We truly cannot have Nigerians compete in our Miss SA competition. I wanna get all facts before I comment but it gives funny vibes already," he said on X.
The issue has touched a nerve in South Africa that goes beyond who will appear on stage at the final next weekend.
Source: BBC
Kuna taarifa imetoka kuhusu huyo dada. Inaonekana mama yake alifeki identity yakeMashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni
Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na alizaliwa Soweto na kukulia CapeTown Waziri wa Utamaduni wa nchi hiyo Gayton McKenzie, alisema
“Hatuwezi kabisa kuwa na Wanigeria kushiriki katika shindano letu la Miss SA. Nataka kupata ukweli wote kabla ya kutoa maoni lakini tayari inanipa hisia za ajabu,”
Hata hivyo bado Mrembo huyo hajaenguliwa katika Shindano, hali inayoleta hisia zaidi kuhusu iwapo anaweza kuibuka Mshindi kwenye Fainali za Jumamosi ya Agosti 10, 2024
..............
Beauty contest sparks row over who counts as South African
South African Chidimma Adetshina has faced online abuse with people questioning her nationality
When law student Chidimma Adetshina clinched a coveted spot as a Miss South Africa finalist, her triumph unleashed a vicious backlash, unearthing a seam of xenophobia that lies close to the surface for some in the country.
The 23-year-old’s name hints at her connection to Nigeria, but internet detectives wanted to know more and combed through every inch of her life. They found that her father is Nigerian and though her mother is South African, her family had come from neighbouring Mozambique.
"On behalf of South Africans, we don’t recognise her and that name! She better start packing and go home,” raged one commenter on X.
But where is home? Ms Adetshina is South African, as verified by the organisers of the pageant. She has said in interviews that she was born in Soweto - the township next to Johannesburg - and grew up in Cape Town.
However, the “go-home” sentiment, and even harsher attacks, flooded social media. There was also a petition demanding her removal from the high-profile televised competition that amassed more than 14,000 signatures before it was taken down.
The country’s Culture Minister Gayton McKenzie, the leader of the Patriotic Alliance party, which has joined a coalition government and made migration issues a key part of its platform, chimed in.
“We truly cannot have Nigerians compete in our Miss SA competition. I wanna get all facts before I comment but it gives funny vibes already," he said on X.
The issue has touched a nerve in South Africa that goes beyond who will appear on stage at the final next weekend.
Source: BBC
Unajuaje kama wanapita na si wanaingia nchini mwako kiharamu?Tunalalamika kuhusu SA wakati sisi hapa Wasomali kupita tu mpaka wafie kwenya Makontena na tunaona sawa tunalalamika Ubaguzi wa Wazulu..
Nenda huko uone walivyojichimbia mizizi..Unajuaje kama wanapita na si wanaingia nchini mwako kiharamu?
Ni kweli wanapita. Lakini mtu anavyoingia nchini mwako kiharamu utasemaje anapita tu?Nenda huko uone walivyojichimbia mizizi..
Mkuu Afrika tunawekeana mazingira magumu ya Waafrika kusafiri kwa sababu za kina Carl Peter's wakati wao wanatumia driving licence kutoka Nchi moja na kwe da nyingine nimefurahi kuona Botswana,Zambia na Namibi wamefuta matumizi ya Passport kwa raia wao wakitaka kwenda kwenye hizo Nchi vitu navyoongea hapa ni vikubwa inatakiwa uwe mbele ya muda sio nyuma ya muda..Ni kweli wanapita. Lakini mtu anavyoingia nchini mwako kiharamu utasemaje anapita tu?