Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hata Nkurunzinza wamempa!Hizo tuzo za ki bwege tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hata Nkurunzinza wamempa!
SureHapo kwa Nkrunzinza ndiyo wameharibu kabisa
Ujinga kama huu ndio mnapenda kuusikia, Bishop Kakobe kaongea tu wote mmegeuka makasuku mnaweweseka tu.Magufuli ni chaguo la Mungu wasiopenda wahame nchi maana bado ana miaka 7 ya kuingoza nchi hii