Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
Kama mtu km Nkurunzinza kapata tuzo ya Mandela courage sasa sijui ni courage ya nini, ya kukiuka katiba ya nchi yake au nini? Tuzo za hovyo kabisa.
 
Amani . Hivi benny 8 yuko wapi vile? Wale jamaa wasiojulikana ni akina nani vile? Siasa bana mchezo mzuri sanaaaa
 
Jimbo,
Ni kweli mkuu, ingekuwa Tuzo ya Malikia wa Uingereza ama D. Cameroon, tungeshangilia kweli x2. Hivi ni nani alyeanzisha msemo wa "Miafrica ndivyo tulivyo", nimekumbuka usemi huu ghafla
 
Kwi! Kwi! Kwi! Mzee wa frent ford ndiyo anatunukiwa tuzo ya nn??!! Hawa wasouth wametuchoka kwa kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom