Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
kuna watu watataka wapasuke.
lkn ndo hivyo tena JPM anapaa.
 
Kwa taarifa yako tuzo zimeandaliwa na ubalozi wa Tanzania huko afrika kusini, sasa hivi balozi nyingine nazo zinaandaa matuzo mbalimbali ili aonekane anakubalika, kama yule mtangulizi wake alivokuwa anaandaa udokita na uporofesa

sisi hatuna shida na hoja yako, wewe tupe UTHIBITISHO tu.
 
Kama hadi Nkurunziza kapewa basi ujue hapo hakuna la maana; tuzo za Afrika hazina maana wote viongozi wanafanana tu. Halafu watoa tuzo wanamdhalilisha Nelson Mandela wallah!
 
Wakibiti na Mkuranga mbona huwataji?, dhambi hii ya ubaguzi haitaicha chadema salama hata kidogo

ulivyoanzisha huu Uzi utafikiri ulikuwa unajua kuwa MKULU JPM atapata tuzo. teh teh teh teh tihiii.

kuna watu wanataka wameze wembe. ahaaa haaa haaa
 
Tu-mbwa twa CCM tumekuja tena! Tuliwahigi kusema makofuri kashinda tuzo gani vile mwaka ule?
 
Tu-mbwa twa CCM tumekuja tena! Tuliwahigi kusema makofuri kashinda tuzo gani vile mwaka ule?

Egyptian journalist named 'Individual Activist' winner of 2017 Mandela award
400x225_410173.jpg

Abdur Rahman Alfa Shaban 29/11 - 16:07

EGYPT
An Egyptian journalist has been named winner of a category of the 2017 Civicus Nelson Mandela – Graca Machel Innovations Award announced on Monday, the Madamasr news portal reports.

Khaled al-Balshy won in the category of Individual Activist. He is the chief editor of the privately-owned Al-Bedaiah news portal and a former board member of the country’s journalists group.

The award website also described Khaled as a human rights defender who braves the odds to stand for media rights despite a repressive environment for practitioners.

In a nation where media freedom is under constant attack, Khaled has boldly and relentlessly pursued the cause of free speech, despite facing personal judicial and online harassment.

“In a nation where media freedom is under constant attack, Khaled has boldly and relentlessly pursued the cause of free speech, despite facing personal judicial and online harassment.

“He established the Front to Defend Journalists and Freedoms, which has succeeded in having several journalists released from detention.

“He has also sought every available platform to shine a light on violations by the government and share these with the world, and has actively mentored younger journalists to defend their own rights and the rights of others,” the organizers added.

Balshy is no stranger to legal hurdles as he was handed a year-long suspended sentence last March, alongside with other members of the Egyptian Journalists Syndicate. They were sentenced over charges of “harboring fugitives.”

Other winners announced included Guyana’s Jubilante Cutting (Youth Activist winner), Mentally Aware (Civil Society Organization winner) and Europe based Guerrilla Foundation (Brave Philanthropy winner.)

The four were selected from some 300 nominations from across the globe. They will receive their awards at a ceremony on 7 December in Suva, Fiji as part of International Civil Society Week.

‘For the first time this year, the Awards were run in collaboration with The Elders – a group of independent global leaders, founded by Nelson Mandela in 2007 – and, specifically, their [HASHTAG]#WalkTogether[/HASHTAG] campaign,’ the award site added.

Huu ni mtandao wa www.africannews.com inaonesha award ya Mandela kwa mwaka 2017 kwa Mwanaharakati na mwandishi wa Habari toka Misri...!!1Mbona jina la Magufuli halimo???
Hivi Lumumba wana mdanaganya nani na kwa nia gani hasa??
Hivi kwa akili ya kawaida tu, Rais Magufuli aliyeamua kuzuia na kukandamiza uhuru wa Vyama vya siasa na media kweli apewe Zawadi ya Amani ya Mandela.??? Magufuli na Serikali yake wameshiriki kumpiga risasi Mbunge Tundu Lissu, wamempoteza Ben Saanane na sasa kuna Azory halafu apewe zawadi ya Amani kweli.....???No way!! It'll be a BIG JOKE OF THE YEAR.
 
Pierre Nkurunziza nae katambuliwa. Duh kweli anastahili tuzo ya ujasiri. . Africa moto!
 
"" Rais wa Chad, Idriss Itno
amepata tuzo ya Mandela ya Ulinzi""

Huyu ndiye nakubali kwa kazi yake, he has deserved to get it
 
Wana lindana tu hao kwa kutumia Akili ili watu pumbaze ..
 
Muheshimiwa huko alipo Bichwa limekuwa kubwa hilo kama namuona vile
 
magufuli+pic.jpg

Johannesburg, Afrika Kusini. Rais John Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) kwa kuendeleza shughuli ya kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii.

Kamati ya tuzo za Mandela kwa mwaka 2017 ilipokea maombi ya wawania tuzo 4,956. Wengine waliotunukiwa ni Rais Uhuru Kenyatta aliyeshinda tuzo ya Mandela ya Demokrasia kutokana na kuendeleza demokrasia nchini Kenya.

Pia, Mahakama ya Juu nchini Kenya na Jeshi la Zimbabwe zimetunukiwa tuzo ya ujasiri (Mandela Boldness) kwa kufanya uamuzi kwa kijasiri kwa masilahi ya mataifa yao.

Rais wa Taasisi ya Mandela, Dk Paul Kananura amesema Rais Kenyatta ametunukiwa kwa kudhihirisha demokrasia kwa kukubali uamuzi wa Mahakama ya Juu hivyo kuheshimu kanuni za utengano wa mamlaka. Mahakama ya Juu ya Kenya ilibatilisha matokeo ya urais katika uchaguzi wa Agosti 8,2017 yaliyompa ushindi Kenyatta na kuamuru uchaguzi kurudiwa ambao alishiriki na kuibuka mshindi.

"Hii inaonyesha kuwa Rais Kenyatta amechangia katika uimarishaji wa demokrasia Kenya,” amesema Dk Kananura. Rais wa Chad, Idriss Itno amepata tuzo ya Mandela ya Ulinzi (Mandela Security) kutokana na sera ya kupambana na ugaidi katika maeneo ya Sahel na Ziwa Chad. Mwingine ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza aliyetuzwa tuzo ya ujasiri (Mandela Courage).


Napinga Magufuli kupewa tuzo hiyo , na kama Mandela akisikia huko aliko aweza kufufuka ili kuja kuzuia jina lake kutumiwa vibaya .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom