Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

Kwamba bandari ya Darbun haitoshi hadi ipitie bongo? Na inapitia Bongo ikitokea wapi?
Wachina hawakuwa wajinga kutaka kujenga Bandari ya Bagamoyo Tanzania, ndio maana Kenya wana haha kujenga LAMU port kabla ya Bandari ya Bagamoyo...

Pwani ya Tanzania ndio Eneo bora kabisa na Strategically kuingia Africa.

Warumi enzi hizo kabisa walijenga kituo chao cha Biashara Pwani Africa Mashariki (Mafia Island).

Kama tutakuwa na Bandari kubwa na Taifa la Viwanda Tanzania inaweza kukua kiuchumi kwa zaidi ya 8% kila mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mizigo inatoka nje unapita Dar alafu ndo inaenda huko kusini mwa Africa au
inatoka huko kusinj mwa Africa inakuja kwetu
Au inatoka kusini mwa Africa inapita kwetu alafu inaenda mbele zaidi

Maelezo yaliyonyooka tafadhari.
Huwezi kupata maelezo zaidi ya alichoandika huyo maana yeye kazi yake ni kusifu na kutukuza
 
Inashushwa Dar na kupakiwa kwenye malori na kupelekwa Afrika kusini..
.....dah Afrika kusini ina bandari nyingi na bora bahari ya Hindi na Atlantic halafu waje DSM dah pompeo legeza kidogo
Wewe unambishia msemaji wa TPA?
 
Huwezi kupata maelezo zaidi ya alichoandika huyo maana yeye kazi yake ni kusifu na kutukuza
Wewe Bavicha kinakushangaza nini hapo?

Kwani wafanyabiashara wa Tanzania hawatumii bandari ya Mombasa?
 
Sidhani kama Bavicha watakuelewa labda wale Bawacha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…