Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Kitu kinachombeba Rwanda ni dunia kama iliwatelekeza kwenye mauaji yao. Kwa namna fulani kama amepewa room flani hivi!

Ukiwavamia moja kwa moja dunia itakuangalia vibaya! Na hiyo room Kagame ndiyo anaitumia.

Ni kama room anayoitumia Israel kwa majuaji ya kimbari aliyofanyiwa kwenye ww2. Sometimes wanatumia hiyo excuse kufanya mambo ya ajabu.
 
Navyokaona haka kajamaa kamti mkavu. Kanaweza zichukua hizi nchi zote hapa East Africa na hata Centre au nasema uongo? Unajua majeshi ya nchi ngapi yapo Congo? Yanachapika.

Wameshindwaje mfutilia mbali hawa jamaa? Inashangaza sana. Ilitakiwa hao M23 wawe wameshaisha na hawataki hata kujisikia wenyewe. Lakini wanatamba mpaka leo na Kagame hajifichi kuwa anashirikiana nao. Na bado wakimzingua anawazingua. Hamwogopi wowote, hacheki na wowote.

Wasiwasi wangu akiamua kuzitawala hizi nchi za EA. Si itakuwa balaaa? Tutawezana kweli?
 
Lakn syo kweny issue za security kufanya kaz hzo nch haimaanish unajua usalama na sr yao kagame anamuonea tu DRC ebu amjarbu Mburund
 
Uingereza na washirika wanachokitafuta ni kuharibu usalama maeneo mengi Africa kadri iwezekanavyo na kuharibu uchumi wa nchi hizi ili kumzubaisha mchina, huku wakivuna rasilimali burebure.
Kagame yeye ni mbwa tu anaetumwa kuchokoza ili apatikane wa kuchoma utambi
 
Uzuri wa JF kwenye kila mada kuna watu wamebobea
Kuna ma General wa jeshi humu...

Kuna wataalamu wa mambo ya anga humu....

Kuna wasemaji wa waasi wa M23 humu......

Kwa kifupi JF imekamilika
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…