Suala la Israel na Palestinian watu wanajadili kwa mihemko ya dini, suala la hamas kuvamia Israel 7 October lilikuwa ni kosa kubwa sana ambalo litagharimu hamas na wapalestina wanaowasapoti, Kila Israel inapochokozwa huwa inaleta maafa makubwa kwa wapalestina, mwaka 1967 Egypt , Jordan, Syria waliongoza mataifa ya kiarabu kuivamia Israel matokeo yake Egypt kapoteza eneo la Sinai ,Syria kapoteza Golan heights, Jordan akapoteza Jerusalem, Palestinian alipojaribu kupigana na Israel alipoteza eneo, Israel akianzisha mashambulizi bila kuchokozwa anaweza kushindwa vita na kupata hasara kubwa , ndo maana huwa haanzishi vita , kuna waarabu walikubali kuishi pamoja na wayahudi na wapo kwenye bunge la Israel wengine ni askari Israel hana shida nao, wanaishi vizuri na wayahudi na wengine ni wataalamu wa mambo mbalimbali, hawa watu waunde taifa moja tu.