Afrika Kusini yaishitaki Israel

Afrika Kusini yaishitaki Israel

Kwani wamorocco sio waarabu? Kuwa na aibu mzee, usilazimishe wakane race zao kisa wanaishi Afrika, wewe kama mwafrika baki na uafrika wako, na wao kama waarabu wabaki na uarabu wao kama ilivyo kwa wazungu n.k
Ni waarabu walioko Africa kwahiyo ni waafrica kama sisi tu, hizo kauli zao ni za kibaguzi kujiona wao ni superior kuliko waafrika ngozi nyeusi na kuwaona takataka.
 
Wakati wa fainali ya AFCON Senegal vs Misri,waafrika wengi walikua wakishabikia Senegal,wakiamini kua ndio waafrika wenzao,hilo huoni kua ni ubaguzi?

Leo hii wakicheza Morocco vs Cameroon sio ajabu hata wewe ukawa upande wa Cameroon,sio kwa ushabiki bali kwa ubaguzi tu,

Acheni unafiki.
 
Huwez kumpangia mtu timu ya kushabikia huo ni uamuzi wake so long as mapenz ya soka yamezingatiwa, lakin ukianza kuingiza racism na udini ktk mpira utaonekana kituko.

Unaiona picha ya Ozil hapo kwenye avator yangu lakin haimaanishi mm ni muislamu au mwarabu/mzungu Bali nilikuwa namkubali mwamba akiwa anafanya mambo yake kiwanjani.
 
Unaweza kukuta huna hata bando la kuingia humo na kusoma kilichomo,

Soma na hii,

Nina wasiwasi na uelewa wako kuhusu hii lugha ya malkia maana ulicho post ni kama vile umezidi kuthibitisha nilichokiandika kwamba waarabu ni watu wa porojo tu matendo sifuri.
 
Sh. Ahmed Al khalili,

Huyu naye asili yake ni mtanzania mzaliwa wa Vikokotoni , sawa na mashabiki wengine ndani ya jamiiforums

The Muslim 500
https://themuslim500.com › profiles
Ahmad Al-Khalili

Sheikh Al-Khalili is the Grand Mufti of Oman. He was born on 27 july 1942 and lived, in Zanzibar Tanzania until the end of the Al-Said rule (1964) and then moved to Oman along...

14 June 2022
Muscat, Oman

By: ONA
1704361247389.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya Al Alam kuonana na rais Samia Suluhu Hassan .

Mazungumzo ya Mh. Rais Samia Hassan na Mufti Mkuu wa Oman yaligusia masuala mbalimbali yanayogusa jamiii.

Katika mazungumzo hayo rais aliongozana na Dr. Pindi Chana, waziri wa Utalii , Dr. Khalid Salum Mohamed, waziri wa SMZ Ujenzi, usafiri na mawasiliano, balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk, naibu waziri mambo ya nje na ushirikiano Afrika Mashariki .

Tanzanian President receives Oman's Grand Mufti Tuesday 14/June/2022​

Muscat: President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania received at her residence place in Al Alam Palace here today His Eminence Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili, the Grand Mufti of the Sultanate of Oman.

The Tanzanian President and the Grand Mufti of Oman exchanged cordial talks and reviewed matters of common interest.

The meeting was attended by Saud Hilal Al Shidhani, Ambassador of the Sultanate of Oman to the United Republic of Tanzania. It was also attended from the Tanzanian side by Dr. Pindi Chana, Minister of Natural Resources and Tourism, Dr. Khalid Salum Mohamed, Minister of Works, Transport and Communications and Ambassador Mbarouk Nassoro Mbarouk, Deputy Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation
 
Nina wasiwasi na uelewa wako kuhusu hii lugha ya malkia maana ulicho post ni kama vile umezidi kuthibitisha nilichokiandika kwamba waarabu ni watu wa porojo tu matendo sifuri.
What a Rubbish,
Kwa hiyo wale wazungu wanaowalazimisha kuikubali LGBTQ ndio hawana matendo sifuri sio? huo wasiwasi ulionao kwangu uhamishie kwako coz unaonekana una ufahamu ulio lala usingizi.
 
Kama mnajua kua vita haina macho mbona mnatokwa povu kwa yule mbongo kufia vitani?
Tumia akili wewe yahudi mweusi wa Nzega,halafu inakuaje unawashobokea wayahudi waliomuua Mungu
Umepanic pambaneni na hali zenu acheni kulia lia shekhe
 
Huwez kumpangia mtu timu ya kushabikia huo ni uamuzi wake so long as mapenz ya soka yamezingatiwa, lakin ukianza kuingiza racism na udini ktk mpira utaonekana kituko.

Unaiona picha ya Ozil hapo kwenye avator yangu lakin haimaanishi mm ni muislamu au mwarabu/mzungu Bali nilikuwa namkubali mwamba akiwa anafanya mambo yake kiwanjani.
Nimeongea in general uwe na akili ya uelewa,hivi hukuona nyuzi humu za kuwaponda Misri kiubaguzi wa rangi? hukuona humu nyuzi za kuwaponda Morocco kwa ubaguzi wa rangi?

Au umeamua tu kujitoa ufahamu? au hata huo ufahamu wenyewe huna?
 
Njia pekee ni nyie kwenda vitani Gaza na sio kutoa matamko. Wapelestina mnaowatetea wameua ndugu zetu wawili tena kwa ukatili mkubwa mno. Hata hiyo mufti AKIENDA Palestine watamchinja tu
sasa kama waliuwa ndugu yako unakalia nini Tz huanzi wewe kwenda ??
 
Huyu naye asili yake ni mtanzania mzaliwa wa Vikokotoni , sawa na mashabiki wengine ndani ya jamiiforums

The Muslim 500
https://themuslim500.com › profiles
Ahmad Al-Khalili

Sheikh Al-Khalili is the Grand Mufti of Oman. He was born on 27 july 1942 and lived, in Zanzibar Tanzania until the end of the Al-Said rule (1964) and then moved to Oman along...

14 June 2022
Muscat, Oman

By: ONA
View attachment 2861638
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya Al Alam kuonana na rais Samia Suluhu Hassan .

Mazungumzo ya Mh. Rais Samia Hassan na Mufti Mkuu wa Oman yaligusia masuala mbalimbali yanayogusa jamiii.

Katika mazungumzo hayo rais aliongozana na Dr. Pindi Chana, waziri wa Utalii , Dr. Khalid Salum Mohamed, waziri wa SMZ Ujenzi, usafiri na mawasiliano, balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk, naibu waziri mambo ya nje na ushirikiano Afrika Mashariki .

Tanzanian President receives Oman's Grand Mufti Tuesday 14/June/2022​

Muscat: President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania received at her residence place in Al Alam Palace here today His Eminence Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili, the Grand Mufti of the Sultanate of Oman.

The Tanzanian President and the Grand Mufti of Oman exchanged cordial talks and reviewed matters of common interest.

The meeting was attended by Saud Hilal Al Shidhani, Ambassador of the Sultanate of Oman to the United Republic of Tanzania. It was also attended from the Tanzanian side by Dr. Pindi Chana, Minister of Natural Resources and Tourism, Dr. Khalid Salum Mohamed, Minister of Works, Transport and Communications and Ambassador Mbarouk Nassoro Mbarouk, Deputy Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation

Allah amjaalie umri mrefu, tuseme aamiyn!
 
View attachment 2861157Maneno ya Mstahiwa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman Sh. Ahmed Al khalili, kuhusu Africa ya Kusini, Allah amuhifadhi.

Mods naomba uzi huu msiuhamishe wala kuufuta
Hao wanafiki mbona siku zote wapo kimya?

Nini wamekifanya wao zaidi kujitengeneza vilemba vyao tu n serikali zao kuiunga mkono Marekani na Israel lkisirisiri.

Huyo Sheikh ni heri angekaa kimya tu kujilindia heshima yake.
 
Mkuu sisi wa Tz ikitokea mtu anatak kufanya jambo la msingi au la maan kuna wengine wanakuja kuvuruga maono ndio huyo sasa[emoji3482][emoji2781][emoji2781]Acha kuchanganya mada

Ni mtihani sana sheikh
 
Hao wanafiki mbona siku zote wapo kimya?

Nini wamekifanya wao zaidi kujitengeneza vilemba vyao tu n serikali zao kuiunga mkono Marekani na Israel lkisirisiri.

Huyo Sheikh ni heri angekaa kimya tu kujilindia heshima yake.

Tuwaheshimu masheikh wetu, kuwaita wanafiki haipendezi ukhti, Uisilamu haupo hivyo, hata kama hawakupeleka jeshi, lakini wamejitolea misaada mbali mbali kuwasaidia ndugu zetu wapalestina. Mfuatilie Sheikh rashid al shukery

Allah awazidishie kheri kwa walichotoa!
 
Wakati wa fainali ya AFCON Senegal vs Misri,waafrika wengi walikua wakishabikia Senegal,wakiamini kua ndio waafrika wenzao,hilo huoni kua ni ubaguzi?

Leo hii wakicheza Morocco vs Cameroon sio ajabu hata wewe ukawa upande wa Cameroon,sio kwa ushabiki bali kwa ubaguzi tu,

Acheni unafiki.

Walinikera sana sheikh, hata baadhi ya waislamu walikua upande wa wakristo kushabikia Senegal. Ni ubaguzi haswaa.
 
Back
Top Bottom