Afrika Kusini yaishitaki Israel

Afrika Kusini yaishitaki Israel

Nimeongea in general uwe na akili ya uelewa,hivi hukuona nyuzi humu za kuwaponda Misri kiubaguzi wa rangi? hukuona humu nyuzi za kuwaponda Morocco kwa ubaguzi wa rangi?

Au umeamua tu kujitoa ufahamu? au hata huo ufahamu wenyewe huna?
Hujielewi
 
Wakati wa fainali ya AFCON Senegal vs Misri,waafrika wengi walikua wakishabikia Senegal,wakiamini kua ndio waafrika wenzao,hilo huoni kua ni ubaguzi?

Leo hii wakicheza Morocco vs Cameroon sio ajabu hata wewe ukawa upande wa Cameroon,sio kwa ushabiki bali kwa ubaguzi tu,

Acheni unafiki.

Juzi wamecheza misri na Mozambique, mchezo ulikua 2-1.... egypt akasawazisha dakika ya 90+6. Aisee kuna watu waliumia sana, waarabu wamebebwa, mara sijui nini! Yani ni upumbavu na chuki za kijinga tu
 
Back
Top Bottom