Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Kumbe HAMAS wanaogopa kufa, sasa kwanini walianzisha vurugu October 7?
Sudani watu wanachinjana piaView attachment 2861157Maneno ya Mstahiwa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman Sh. Ahmed Al khalili, kuhusu Africa ya Kusini, Allah amuhifadhi.
Mods naomba uzi huu msiuhamishe wala kuufuta
Vita haina macho shekhe kaa kwa kutulia,Wapi wamesema wanaogopa kufa?
Kuuawa kwa watoto ndio furaha kwenu enyi wayahudi weusi msio na utu wala huruma, na hao mnaowaunga mkono mazayuni hawakuanza October7 kuuwa, ni zaidi ya miaka 70 sasa.
Sudani watu wanachinjana pia
Vita haina macho shekhe kaa kwa kutulia,
Mbona wakifa wazayuni mnashangilia pambaneni na hari zenu shekheNitulie vipi wakati tunaendelea kuuwa IDF
View attachment 2861295
Mbona wakifa wazayuni mnashangilia pambaneni na hari zenu shekhe
Nyuzi zangu nyingi tu zimehamishwa na zingine kufutwa, ila upande wa pili zinaachwa, ukitaka kujionea mfuatile huyu mkenya MK254 ana thread kibao humu na hazifutwi, jiulize kwanini!!
S.A wanajitambua wale, na wameumia sana kwa mateso wanayopitia wapalestina tokea miaka mingi, ni mtu asie na huruma wala utu ndio atawasapoti hao magaidi wa kizayuni, na huo msemo wa kusema wasaidiwe na ndugu zao, badala ya S.A! Ni wewe tu na danganyika yako mmekaa kimya hata maandamano tu shida, jamaa watakata misaada sio?
Mkuu maandamano unaweza ukaanzisha hata wewe!S.A wanajitambua wale, na wameumia sana kwa mateso wanayopitia wapalestina tokea miaka mingi, ni mtu asie na huruma wala utu ndio atawasapoti hao magaidi wa kizayuni, na huo msemo wa kusema wasaidiwe na ndugu zao, badala ya S.A! Ni wewe tu na danganyika yako mmekaa kimya hata maandamano tu shida, jamaa watakata misaada sio?
Nchi za Kiarabu/Kiislamu wanajuwa fika Israel siyo lazima Walete Jeshi kukutia adabu, Bali drone ndio mbaya kuliko likitumwa Jeshi, wao siyo wajinga kiasi hicho.Hivi kwa nini hakuna hata nchi moja ya Kiarab/Kiislam iliyoweza kuwa na ujasiri kama wa RSA? Ina maana wote wanaiogopa Israel?
Hawa watu ni hopeless kabisa. Kusubiri kusifia badala ya kuchukua hatua ni udhaifu wa hali ya juu. Na hapa aliyetoa hii kauli ni Mufti wala siyo Serikali ya Ufalme wa Oman, Israel wakikohoa tu kuhusu hii kauli utasikia mfalme wa Oman anasema hatuhusiki na kauli ya huyu mufti kama Makonda alivyokanwa na Serikali kwenye issue ya ushoga.
Allah atawanusuru pia
Waende wap?Wanachokifanya unaona ni sahihi? Pale sio kwao, ni wavamizi. Wanapaswa kuondoka.
Ramaphonsa bangi zinamsumbuwa, awafukuze Kwanza Makaburu waachie Ardhi ya watu weusi.Hamas ndiyo walianza vitaView attachment 2861383
Huyo atakua shoga na ndio maana ushoga umetawala akili yake na ndio anachokiwaza,halafu huyo ni mtu mzima ila akili zake ameziacha nyuma kisha yeye akatangulia mbele na kiwili wili tu.Kuna mahala pameandikwa ushoga hapo?
Una umri gani? isije ikawa naelewesha kitoto cha Shule,matatizo ya Palestina na Israel yameanza october 7? au wewe na wenzako mmeanza kufuatilia issue za wapalestina na Israel kuanzia october 7? hujui kua Palestina ipo under occupation chini ya zionists? hujui kua maisha ya Gaza ni kama an open prison?Hamas ndio walioanzisha uchokozi October 7. Wamepelekewa moto sasa wanalia lia
Kama mnajua kua vita haina macho mbona mnatokwa povu kwa yule mbongo kufia vitani?Vita haina macho shekhe kaa kwa kutulia,
PhD za bongo hizi duu hivi wanao wanajua kuwa unaharisha namna hii jukwani maana kama ni pungwani vile au wewe unajiona upo sawa?Africa kusini ushoga ruksa.
Taqbir, mufti anaunga mkono juhudi.
Huyo labda awe na PhD ya ujinga coz ndio anaongoza hapa JF kwa kupost matapishi yasioeleweka,haka kajaa hua kanarukia kucomment tu bila kutafakari.PhD za bongo hizi duu hivi wanao wanajua kuwa unaharisha namna hii jukwani maana kama ni pungwani vile au wewe unajiona upo sawa?
Sheikh twende uwanja wa vita tukaipiganie dini ya haki ya mwinyazimngu siyo kwenye keyboard Tu.Una umri gani? isije ikawa naelewesha kitoto cha Shule,matatizo ya Palestina na Israel yameanza october 7? au wewe na wenzako mmeanza kufuatilia issue za wapalestina na Israel kuanzia october 7? hujui kua Palestina ipo under occupation chini ya zionists? hujui kua maisha ya Gaza ni kama an open prison?