Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Sasa what is this !!! Kwanza annael kaanza kusema ati Tanzanai ka ipita kenya kwa ppp (fake news )sasa redeemer ana jadili vitu ambavyo havijaundwa [emoji23][emoji23][emoji23]endeleeni kuota !wtf
 
Sasa what is this !!! Kwanza annael kaanza kusema ati Tanzanai ka ipita kenya kwa ppp (fake news )sasa redeemer ana jadili vitu ambavyo havijaundwa [emoji23][emoji23][emoji23]endeleeni kuota !wtf
Kwikwikwikwikwi!!!. Nakuona unahasira sana na Tanzania baada ya demu wenu kupigwa vibaya AU.
 
Wacha mboyo wewe! Yaani kitu kianze kujengwa with no plans..?

How do you plan bila kuongea?
 
Annael ...I really thought you are wiser than this ...nlikuwa na kuheshimu kama Geza ulole but off late umashida akilini ...
Even me ninakuheshimu kama ninavyomuheshimu Uhuru Kenyata. So tukiwa kwenye topic fulani tuengelee hiyo topic. Ilikuwa message tu uelewe. Tukianza kuhamisha magoli wmisho wake mada itapotea. Wewe tuongelee hili la Tanzania kujenga Reli ndeeeeeeefu ya kutumia umeme. zaidi ya kilomita 1200. Wewe unasemaje hapo?
 
Achaneni na huyo mtoto wa katibu mtendaji kata Annael,
yaani yeye ni kusifu na kuabudu tu,hana hata reasoning..

Huo mradi labda miaka 15 ijayo sio wa leo huo,
Kwikwikwikwi. Wewe mtoto wa nani? au mtoto wa Mr Sugu?
 
Hujui Kinyerezi II na Kinyerezi III zinaisha sio muda mrefu!!? Unadhani wewe unaakili saaaaaana kuliko ma engineers walio plan? Au ndio ule ulimbukeni wa kujifanya unajua vitu kumbe ni hopeless!!?
Usibishane na bogaz
 
Vingapi vimesemwa vikafanyika Tanzania
 
Alafu isitoshe kenya badae inapanga kueka umeme, tukishaweka umeme, reli za kenya za abiria zitakua zibasonga kwa kasi ya 240km/hr ..... kwahivyo you can all piss off in advance!!!!
 
Treni ya 240 km/hr kwa reli ipi?? Ile mliyopigwa mchana kweupe na wachina.. I doubt kama inaweza hata kusukuma 180.
 



Pole sana
kajinyonge Sisi tumeamua
haikuhusu
 

Hahaha kimekuuma!!!
itakuwa!!
hapo baadae!!!
pole sana
 
Everyone is eager to see train speeding at 160km/hr ..

But i will suggest Gvt to have power problems sorted out first rather than rushing to a multi-million project without reliable power...


How will it operate with persistent black out ??
Ushawahi kusikia umeme umekatika ikulu?Muhimbili hospital?Basi hii nayo itapewa special line yake.[emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…