Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Kabla mjenge miundo mbinu ya umeme, ndio mjenge reli, hiyo itakuwa 2030Stima huku inaitwa umeme.. ukiwa kwenye jukwaa la waTanzania andika Kiswahili cha waTanzania..
Kingine. Muweke umeme kwenye treni zenu au msiweke hiyo ni shauri yenu, gesi yetu inatosha kabisa kuzalisha umeme wa kuendesha hizo treni ndio maana tumeamua kuweka miundombinu ya umeme kabisa.. hao wanasiasa wenu wanajiandaa kuwapiga tena kwenye hiyo kandarasi ya treni za umeme.. kaeni macho.
Raha yetu Tanzania tunajitekenyaga na kucheka wenyewe, kutokutoka nje kumefanya kila kitu tunasema Africa Mashariki na kati wakati tunachowazidi wenzetu sisi ni Lugha ya Kiswahili tu
Bro kwani hela tunachukua kwako??Kabla mjenge miundo mbinu ya umeme, ndio mjenge reli, hiyo itakuwa 2030
Huko ikulu kuna Standby Generator za 2500 kVAUshawahi kusikia umeme umekatika ikulu?Muhimbili hospital?Basi hii nayo itapewa special line yake.[emoji1] [emoji1]
Mkuu sio kwamba tunadiscourage ujenzi wa treni za umeme...Bro kwani hela tunachukua kwako??
Bro hujakosea.. ila sidhani kama serikali inaweza kuingia kwenye mradi mkubwa kama huo ikiwa inajua kabisa haina capacity.. hasa katika era hii ya mass information.Mkuu sio kwamba tunadiscourage ujenzi wa treni za umeme...
Tunataka tutumie fursa ya jf kushauri kuwa iwekwe miundombinu mizuri kabla ya project kuanza...
Otherwise umeme uwe ni sehemu ya mradi
Treni ya 240 km/hr kwa reli ipi?? Ile mliyopigwa mchana kweupe na wachina.. I doubt kama inaweza hata kusukuma 180.
HowHapa naona Morocco tunamuweka pembeni
kisha afuate Ethiopia
ndio waje sasa waleee Walio unguliwa na shoka mpini ukabaki hahaha
Morocco tunakushukuru kutulindia nafasi yetu
Tuna uwivu aje ur literally on a kenyan forum announcing Tanzanian News ...shows how much No kenyan cares about tanzania ndio maana mnakuja na viji habari vyenu hapaHahahaa! Kenyans mna wivu...! [emoji23][emoji23]
We are kidding..! Mshakuja kutoa kejeli...
Stay tuned!
Wee inama tu....sindano inakuja.hii shindano yenu itakuja mwaka gani ,tutainama miaka ngapi zaidi?
Yet Kenya still produces more electricity than TanzaniaStima huku inaitwa umeme.. ukiwa kwenye jukwaa la waTanzania andika Kiswahili cha waTanzania..
Kingine. Muweke umeme kwenye treni zenu au msiweke hiyo ni shauri yenu, gesi yetu inatosha kabisa kuzalisha umeme wa kuendesha hizo treni ndio maana tumeamua kuweka miundombinu ya umeme kabisa.. hao wanasiasa wenu wanajiandaa kuwapiga tena kwenye hiyo kandarasi ya treni za umeme.. kaeni macho.
This should be given a medal of honor True Tanzanian Hero!!Raha yetu Tanzania tunajitekenyaga na kucheka wenyewe, kutokutoka nje kumefanya kila kitu tunasema Africa Mashariki na kati wakati tunachowazidi wenzetu sisi ni Lugha ya Kiswahili tu
Hiyo sisi haituhusu, kama mna produce umeme mwingi au kidogo thats up to you brother.Yet Kenya still produces more electricity than Tanzania
Mkilemewa na Facts mnaanza kukashifu kiswahili cha Kenya😛Zitakua zinasonga alafu nani anapakua?? [emoji14]
Kiswahili cha kenya ni comedy tupu
Nope Tanzanias Railway itakuwa completed earliest 2025Kwikwikwikwikwi. Yaani raha sana. Tunawachapa viboko vya matakoni taratibu. Mkiwa nayo ya 240km/hr sisi itakuwa ni Jet engine train.
Yaani unanichekesha sana. Yaani kenya muwe na train ya speed 240km/hr kwa reli ipi hiyo!!? Mbona kona za reli hiyo kali sana?? Au hujasoma physics. Yaani mkiwa na hiyo train sisi TZ tutakuwa na train ya Jet engine.Nope Tanzanias Railway itakuwa completed earliest 2025
Kenya iko slated 42months from now
Electrifying the rail in Kenya will start in 2k19 at 49bn kshs
By 2020 tutakuwa na trains zingine ....mtaisoma Namba mpaka tufe 2070
Still produces more electricity foolHiyo sisi haituhusu, kama mna produce umeme mwingi au kidogo thats up to you brother.
After all kama mna produce umeme mwingi mbona hamku-electrify reli yenu?
So bottom line, mradi wenu wa kwanza mlitapeliwa, wajanja wanaangalia jinsi ya kuwatapeli tena kwenye huo wa umeme.. kaeni macho majirani.
Kama Airline iliwashinda mtaweza Trains?? SmhYaani unanichekesha sana. Yaani kenya muwe na train ya speed 240km/hr kwa reli ipi hiyo!!? Mbona kona za reli hiyo kali sana?? Au hujasoma physics. Yaani mkiwa na hiyo train sisi TZ tutakuwa na train ya Jet engine.