Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

achana na hawa watu wa tutafanya.....tuendelee kusonga mbele Kenya..by the time they finish their SGR, we shall have our stadiums and electric Light rail in Nairobi.....they will neva catch up
 
Ukiongelea stadium watu watakucheka sana. TZ ipo tayari na international stadium. Halafi kuna kingine kinajengwa dodoma.
Yaani sasa hivi mnaona mapicha picha tu. TZ inakimbia kwa super speed kwenye development.
 
na hongera kwa hizo stadium you have ur strengths we have ours...ila there will never come a time when you will be at the same level with Kenya...never!! ur sgr is 5 years back....ask urself this, what will kenya have done by the time we finish our SGR?? light rail is your answer....Kenya is still the choice for multinationals in Eas Africa...After Volkswagen, Ashok and Peugeot have also set up shop in Kenya
 
na hongera kwa hizo stadium you have ur strengths we have ours...ila there will never come a time when you will be at the same level with Kenya...never!! ur sgr is 5 years back....ask urself this, what will kenya have done by the time we finish our SGR?? light rail is your answer
Stadiums zenu za kitoto haziwezi karibia za TZ. Watu watakucheka. Sasa hivi mnatumia treni ambazo zilianza kutumika TZ miaka ya 60s baada ya reli ya Tazara. Nyie mnaongelea vitu vilivyopitwa na wakati. Naomba usilie tu. Kenya mmefanya almost nothing kwenye SGR.
 
Your lame sgr consumes you billions of loans from financial institutions yet not payback the loan your politicians telling you to trust them again for more expensive train and like fools you believd them,
From where they will derive that money!

hamjafunguka tu macho kuletewa gari mosho la 1785 kwa gharama za bullet train?

Kweli wakenya mna matatizo makubwa
na hongera kwa hizo stadium you have ur strengths we have ours...ila there will never come a time when you will be at the same level with Kenya...never!! ur sgr is 5 years back....ask urself this, what will kenya have done by the time we finish our SGR?? light rail is your answer....Kenya is still the choice for multinationals in Eas Africa...After Volkswagen, Ashok and Peugeot have also set up shop in Kenya
 
Naona huu Uzi wale majirani zetu kwenye roho za kichawi watapita mbali sana,ila ukiona ukimya ujue wameisoma,mi niliwaeleza hatukurupuki chini ya magu,sasa wao kwa kuona wamepiga hatua Uhuru kawaletea sgr inayotumia makaa ya mawe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Your lame sgr consumes you billions of loans from financial institutions yet not payback the loan your politicians telling you to trust them again for more expensive train and like fools you believd them,
From where they will derive that money!

hamjafunguka tu macho kuletewa gari mosho la 1785 kwa gharama za bullet train?

Kweli wakenya mna matatizo makubwa
Hahaha. Umenikumbusha gari moshi lilikuwa tulisoma kwenye vitabu ya hadithi kuhusu enzi za wajerumani. Halafu leo wakenya ndio brand new kwao.
 
Naona huu Uzi wale majirani zetu kwenye roho za kichawi watapita mbali sana,ila ukiona ukimya ujue wameisoma,mi niliwaeleza hatukurupuki chini ya magu,sasa wao kwa kuona wamepiga hatuna Uhuru kawaletea sgr inayotumia makaa ya mawe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mimi nilisikia wameletewa ya kutumia kuni.
 
Hawa jamaa hawajielewi ni kitu cha kushangaza waje kubadili hiyo train yao kuwa ya umeme on the spot kabla hata haijafikia halflife yake.

Sasa kama wangetaka ya umeme si wangejenga oneway ya umeme kuliko kuingia gharama tena kuanza kuweka system za umeme kwenye mradi mchanga kabisa.

Ila wapigaji wanawadanganya kwa maneno matamu nao wanaitika tu ndio mzee
Stadiums zenu za kitoto haziwezi karibia za TZ. Watu watakucheka. Sasa hivi mnatumia treni ambazo zilianza kutumika TZ miaka ya 60s baada ya reli ya Tazara. Nyie mnaongelea vitu vilivyopitwa na wakati. Naomba usilie tu. Kenya mmefanya almost nothing kwenye SGR.
Stadiums zenu za kitoto haziwezi karibia za TZ. Watu watakucheka. Sasa hivi mnatumia treni ambazo zilianza kutumika TZ miaka ya 60s baada ya reli ya Tazara. Nyie mnaongelea vitu vilivyopitwa na wakati. Naomba usilie tu. Kenya mmefanya almost nothing kwenye SGR.
 
achana na hawa watu wa tutafanya.....tuendelee kusonga mbele Kenya..by the time they finish their SGR, we shall have our stadiums and electric Light rail in Nairobi.....they will neva catch up

kwasasa wakenya hamna kipya kwa Tanzania
Unazungumzia uwanja !!
kweli mmevurugwa
 
Mkuu wacha1:

The project is about to commence while we are still pushing ourself out of black out!

Remember the incidence of short circuit to Ubungo power plant 2 weeks ago?

All the places connected to National Electrical Grid system had no power..except mtwara region?

We need to put all infrastructure on track before the project commence.

Otherwise , iko siku watu watalala porini
Wewe acha uwongo. ..duh..
 
Naona huu Uzi wale majirani zetu kwenye roho za kichawi watapita mbali sana,ila ukiona ukimya ujue wameisoma,mi niliwaeleza hatukurupuki chini ya magu,sasa wao kwa kuona wamepiga hatuna Uhuru kawaletea sgr inayotumia makaa ya mawe[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sasahivi wamebakia ku hahaha
navijisababu
mwingine kakimbilia viwanja vya mpila!!!

Yaani anaruka mkojo na kukanyaga Kinyesi
 
Ukiongelea stadium watu watakucheka sana. TZ ipo tayari na international stadium. Halafi kuna kingine kinajengwa dodoma.
Yaani sasa hivi mnaona mapicha picha tu. TZ inakimbia kwa super speed kwenye development.
kingine kinaweza kujengwa chato bila shaka.
 
Tupe ukweli wako, tuone uongo wangu
Hemily Kimji 20170115_091713.jpg
 
Inakula kwao mbele kwa mbele. ..watauza siagi kwenye jua na chumvi wakati wa mvua. ..time will tell. .

Wakenya niwatu wahovyo kuwahi kutokea Duniani!!
Wivu na ujuaji vimewatawala
na kila kizuri wao hutamani kiwe chao pekee!!
hili limevuka mipaka
kupelekea hata kumuonea wivu mkenya mwenzie,
Asifanikiwe Mjaluo
mkikuyu Hutokwa na povu!!

Ila kwa awamu hii ya Magu Lazima wakae
 
Back
Top Bottom