pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hii ni uongo kabisa, nimesafiri kenya sehemu kubwa ni barabara mbovu na mbaya, yaani wakenya wenyewe wanaisifu tz kwa barabara bora leo useme wametupita? Hizi ni ngonjera tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kukandamiza kibati mpaka mwisho, mimi sidhani kama nimewahi kupvuka 120miles/hourNamibia sijawahi fika ila niliangalia youtube wale jamaa wana barabara yaan huko watu wanakandamiza kibati mpaka mwisho maana barabara zimenyoooka km rula
Fika ujionee, barabara zao kwa Tz ni runways za Julius Nyerere International Airport.Namibia sijawahi fika ila niliangalia youtube wale jamaa wana barabara yaan huko watu wanakandamiza kibati mpaka mwisho maana barabara zimenyoooka km rula
Kikwete ndio aliyetujingea barabara nchi hii kwa sisi ambao riziki zetu zinapatikana barabarani tunaelewaWakati huo unaosema Rais ni Kikwete na sio Magufuli na aliesema tutatoka Mwanza mpaka Mtwara ni Kikwete sasa sifa au lawama anastahili Kikwete na sio Magufuli
Kenya tumewaacha mbali sana.. ninamashaka na mtoa takwimu
Naomba kujua source ya hii taarifa..
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Alijenga KM ngapi ebu tupe takwimu...Hizo chuki zitawapa cancer mfe kwa mateso makaliHiyo alisema akamaliza utekeleji ukawa 0 baada ya pale Kuna watu walipita kwenye hiyo Nafasi Shukuru kawambwa , na marehem Bazir, hao wote wamefanya kazi isipokua hawakuwa na uwezo wakuzitakaza kazi zao.
Tukubaliane kutokubaliana.Alijenga KM ngapi ebu tupe takwimu...Hizo chuki zitawapa cancer mfe kwa mateso makali
Unamaanisha nini ukisema chini ya viwango?.. alafu alie kudanganya kila kitu wanachofanya wachina ni fake nani?.. wachina wamejenga:-Barabara zetu za mchina zinajengwa chini ya kiwango sana kwa sababu ya 10%+
Barabara iliyojengwa kwa viwango ni Makambako-Songea.
Hii ilijengwa kwa msaada wa Malkia wa Uingereza na akatuma kampuni toka UK iliyojulikana kwa jina la Baffo&Bitt international.